Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu,ndugu Hudson S. Kamoga anapenda kutangazia wananchi wote kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu inatoa huduma ya kukodisha gari la mizigo (lori), 595huduma hii inapatikana kupitia ofisi ya manunuzi. hivyo kwa watakaohitaji mnashauri kufika ofisini kupata maelezo zaidi.
kwa mawasiliano zaidi unaweza kuwasiliana na Afisa usafirishaji kwa simu namba +255787 651
Mbulu district Coucil
Anuani: P.O.BOX 74
Simu ya mezani: +255743583078
Simu: +255716992222
Barua pepe: md@mbuludc.go.tz
Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.