Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu inatoa huduma mbali mbali ndani na nje ya Taasisi yetu kama ifuatavyo:-
1. Huduma ya Afya kupitia Vituo vyetu vya kutolea huduma, Zahanati, Kituo cha Afya,na kupitia Hospitali yetu ya Rufaa Haydom inayomilikiwa na Kanisa kwa kushirikiana na Serikali.
2. Halmashauri inatoa huduma za Elimu ya Awali, Msingi, Sekondari, Vyuo mbalimbali, Elimu Maalum
3. Halmashauri inatoa Huduma za Maji vijijini kwa Kushirikiana na Serikali za Vijiji
4. Halmashauri inakaribisha kuwekeza katika Sekta ya Kilimo cha Umwagiliaji, Kilimo cha msimu wa mvua kwa mazao ya Biashara na Chakula
5. Halmashauri inatoa huduma ya ununuzi wa mifugo kupitia masoko yetu ya minada yaliyoko ndani ya Wilaya yetu
6. Kwa halmashauri inatoa huduma mbalimbali kwa watumishi wake kwa kupitia Idara na Vitengo mbalimbali ndani ya Halmashauri.
Mbulu district Coucil
Anuani: P.O.BOX 74
Simu ya mezani: +255743583078
Simu: +255716992222
Barua pepe: md@mbuludc.go.tz
Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.