Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu anawatangazia waombaji walioorodheshwa kufika kwenye usaili utakaofanyika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Dongobesh iliyoko Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu kuanzia siku ya Jumatatu tarehe 29/08/2022 hadi tarehe 03/09/2022 Saa 2.00 asubuhi kufuatia nafasi walizoomba za MTENDAJI WA KIJIJI III na DEREVA II kwa mujibu wa Tangazo la Nafasi za Kazi la Tarehe 24/05/2022.
pakua hapo chini orodha ya majina husika
Mbulu district Coucil
Anuani: P.O.BOX 74
Simu ya mezani: +255743583078
Simu: +255716992222
Barua pepe: md@mbuludc.go.tz
Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.