• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

Uchaguzi

KITENGO CHA UCHAGUZI

LENGO KUU

  • Kuhakikisha Viongozi wa kuchaguliwa wanapatikana kidemokrasia kwa kuzingatia Sheria na kanuni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu.

MAJUKUMU

  • Kuhakikisha shughuli za uchaguzi na uchaguzi mdogo zinafanyika kwa uhuru na haki kwa kuzingatia Sheria na kanuni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu.
  • Kutoa elimu kwa jamii juu ya wajibu wao katika kushiriki katika uchaguzi wa kidemokrasia.
  • Kutoa elimu kwa Viongozi wa kuchaguliwa juu ya uendeshaji wa Serikali / Halmashauri za Vijiji.

HALI YA KISIASA

  • Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu ina jumla ya Kata 18, Vijiji 76 na Vitongoji 362.
  • Kuna Vyama vya Siasa 6 vinavyoendesha shughuli za Kisiasa katika Hlmashauri.
  • Vyama hivyo ni: CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM); CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA); CHAMA CHA WANANCHI (CUF); CHAMA CHA NCCR – MAGEUZI; CHAMA CHA ACT – WAZALENDO na TANZANIA LABOUR PART (TLP).

VIONGOZI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA

  • Katika Uchaguzi wa tarehe 25 Oktoba 2015, Mheshimiwa Mbunge na Mh. Mbunge wa Viti Maalum walichaguliwa.
  • Kuna jumla ya Waheshimiwa Madiwani ishirini na nne (24), Waheshimiwa 18 wa kuchaguliwa na 6 ni Waheshimiwa Madiwani wa Viti Maalum.

VIONGOZI KATIKA HALMASHAURI ZA VIJIJI

  • Katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2014, jumla ya Wenyeviti wa Vijiji 76, Wenyeviti wa Vitongoji 362 na Wajumbe wa Serikali za Vijiji 1453 walichaguliwa.


MAFUNZO MBALIMBALI YA VIONGOZI KATIKA  NGAZI YA KIJIJI, MTAA NA KITONGOJI.

UTAWALA BORA.pdf

UENDESHAJI WA SHUGHULI ZA SERIKALI ZA MITAA KATIKA NGAZI YA KITONGOJI,KIJIJI NA MTAA.pdf

UCHAMBUZI WA KIJINSI KATIKA MAENDELEO.pdf

KUONDOA UMASIKINI.pdf



MUUNDO WA MAJUKUMU YA SERIKALI ZA MITAA

1MuundonaMajukumuyaSerikalizaMitaa.pdf

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA 2022 HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU December 01, 2022
  • MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA WANAWAKE DUNIANI TAREHE 08.03.2023 March 06, 2023
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • Maadhimisho ya Sikukuu ya Wanawake Duniani Yafana Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Tarehe 08.03.2023

    March 09, 2023
  • Maadhimisho ya siku ya afya na Lishe Halmashauri ya Wilayani Mbulu.

    March 01, 2023
  • Kikundi cha Tupendane cha furahia mkopo wa Pikipiki toka Halmshauri ya Wilaya Mbulu.

    February 27, 2023
  • Wananchi wa Masqaroda washiriki katika Ujenzi wa Josho

    February 24, 2023
  • Tazama zote

Picha Jongefu

GARI LA MIZIGO LA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.