Friday 13th, September 2024
@HAYDOM
MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU,NDUGU HUDSON STANLEY KAMOGA ANAPENDA KUWATAKIA KHERI YA MAADHIMISHO SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI,NA KUWAKARIBISHA WATUMISHI WOTE KATIKA SHEREHE HIZO ZITAKAZO FANYIKA KATIKA MJI WA HAYDOM TAREHE 01/05/2018. MGENI RASMI AKIWA NI MHE. MKUU WA WILAYA NDUGU CHELESTINO MOFUGA.
KARIBU WOTE.
Mbulu district Coucil
Anuani: P.O.BOX 74
Simu ya mezani: +255743583078
Simu: +255716992222
Barua pepe: md@mbuludc.go.tz
Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.