Wednesday 15th, January 2025
@DODOMA
Mkurugeniz msaidizi wa mifumo ya TEHAMA-OR TAMISEMI ndugu Baltazari Kibola, amfungua mafunzo rasmi leo katika ukumbi wa mafuzo Epicor dodoma, akifungua mafunzo hayo Mkurugenzi awameomba washiriki kuwa makini kuzingatia mafunzo yatakayotolewa na wawezaji hasa kwa kuzingatia mabo yafuatayo:-
Usimamizi wa matumizi sahihi ya vifaa vya kukusanyia Mapato (POS)
Kuzingatia mgawanyo wa majukumu kwa watumiaji wa mfumo wa mapato kwa kuzingatia kada ya Afisa TEHAMA,Afisa Mapato,Cashier,Afisa biashara na Mwekahazina
Kuepuka utengenzaji wa bill mbili mbili hasa wakati wakutengeneza bill kwenye kipengele cha miscellaneous
Kubaini makosa yawe kwa kukusudia au bahati mbaya yanayofanywa na mkusanya mapato
Mbulu district Coucil
Anuani: P.O.BOX 74
Simu ya mezani: +255743583078
Simu: +255716992222
Barua pepe: md@mbuludc.go.tz
Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.