• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

Madiwani mkawe nguzo ya Maendeleo kwa Wananchi.

Kurushwa hewani: December 14th, 2020


Katibu wa Kikao cha Baraza la Madiwani Ndugu Hudson Kamoga akitoa ufafanuzi mambo kadhaa  mbele ya kikao cha Baraza la Madiwani

Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu leo tarehe 14/12/2020 imezindua baraza jipya la Madiwani hii ni mara baada ya kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani.

Katika Uchaguzi huo uliofanyika kwa hali ya Utulivu na amani Jimbo la Mbulu Vijijini liliibuka kwa kushinda Viti vyote vya Madiwani.

Afisa Tarafa kata ya Dongobesh akimwakilisha Katibu Tawala Wilaya wakati wa Mchakato wa Uchaguzi wa mwenyekit wa Baraza( Mwenyekiti wa Muda

Katibu wa Vikao vya Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Ndugu Honoratus Mulokozi Rumeirere akisoma miongozo mbalimbali wakati wa Kikao cha Baraza la Madiwani

Baraza la Madiwani Mbulu Vijijini linaundwa na jumla ya Waheshimiwa Madiwani 26 ikiwa ni Madiwani wa kuchaguliwa, Viti maalum na Wabunge wawili wa kuchaguliwa.

Waheshimiwa Madiwani wakiwa ukimbini kuendelea na Mkutano wa kikao cha Baraza

Akifungua Baraza la Madiwani katika Mji wa Dongobesh ambapo ndio Makao Makuu ya Wilaya, Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Joseph Mkirikiti ameanza kuwapongeza Waheshimiwa Madiwani wote kwa kuchaguliwa kwa kishindo na kuwashukuru Wananchi wote na Viongozi wa dini kwa kuliombea Taifa kuendelea kutuepusha na gonjwa la Corona, pia amewaomba wananchi,viongozi tuendele kumuombea Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ili aweze kutekeleza ilani aliyohaidi kwa Wananchi kama ilivyokuwa kwa awamu ya kwanza.

Mhe. Joseph Mkirikiti akizundua Baraza la Madiwani katika Mji wa Dongobesh

 Aidha Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Manyara,amewataka Waheshimiwa Madiwani na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu kufanya kazi kwa pamoja,kujituma na kushirikiana ili kuwaletea Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu maendeleo.

Katibu Tawala Mkoa wa Manyara ndugu Musa(katikati) akiwa katika kikao cha Baraza la Madiwani Mbulu Vijijini

" Nyinyi Madiwani bebeni hoja za Wananchi ili zijadiliwe kwenye Baraza kwa kina na kwa ufasahaa na sio kukaa na kujadili hoja za Mtu binafsi",amesema hayo Mhe. Mkirikiti Mkuu wa Mkoa Manyara.

Baadhi ya Wananchi waliohudhuria Kikao cha Kawanza cha Baraza kuja kushuhudia viapo vya Waheshimiwa Madiwani


Wataalam wakiwa katika kikao cha baraza, toka kulia ni Ndugu Sulle afisa maendelo na Ndugu Moses Afisa Mifugo

Wataalam wakiwa katika kikao cha baraza toka kulia ndugu Audax na Nyangisa wakifuatilia kiako

Kiongozi huyo ameendelea kusisitiza kila mnachokifanya kifanye kwa niaba ya Wananchi na Chama cha Mapinduzi kilichopo Madarakani


Wataalam wakiwa katika kikao cha baraza, toka kulia( afisa ugavi ndugu Juma, ndugu Chitopera Mganga Mkuu,Mhandisi Bundala na Afisa Ardhi ndugu Finiasi wakiwa katika kikao cha Baraza

Inspekta Lucy akipokea maelekezo kutoka kwa Katibu Tawala Ndugu. Mussa

Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAHIMIZA WANAFUNZI WARIPOTI SHULENI

    January 31, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.