• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

DC LAZARO TWANGE ASISITIZA WATOTO WOTE WENYE UMRI WA MIEZI 9 HADI CHINI YA MIAKA 5 WANAPATA CHANJO YA SURUA RUBELLA.

Kurushwa hewani: February 12th, 2024

Akifungua Kikao kilichojumuisha Kamati ya Ulinzi na Usalama(W),Wataalamu na  Wadau mbaliimbali wa maendeleo kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya kwa ajili ya maandalizi ya utoaji chanjo kwa watoto kuanzia miezi 9 hadi chini ya miaka 05 yanayotarajiwa kufanyika tarehe 15-18/02/2024, Mkuu wa Wilaya ya Babati Mhe.Lazaro Twange ambaye anakaimu nafasi ya Mkuu wa Wilaya ya Mbulu.

Mhe. Lazaro Twange akiongea wakati wa kufungua kikao hicho amewataka kila halmashauri zote kuhakikisha wanafanya maandalizi yakutosha ya utoajichanjo kwa njia mbalimbali ili kuwezesha kila mwananchi aliye na mtoto wa umri huo anapata chanjo.

“Sitegemei kusikia katika halmshauri zangu kuna mwananchi analalalimika kutopata chanjo au kusikia kuna kifo cha mtoto kinatokea kwa kusababishwa na maradhi ya Surua Rubella”alisema DC Lazaro Twange

Wakichangia kwa nyakati mbalimbali  Wakurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya na Mbulu mji wameeleza ni kwa jinsi gani wamejiandaa kuwafikia watoto katika maeneo yote ya halmashauri husika kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa afya,

“Mhe. Mkuu wa Wilaya tupende kukuhakishia kuwa kupitia viongozi wetu wa ngazi mbalimbali kama vile balozi, mtendaji wa mtaa, kitongoji, kijiji, kata, Maafisa Elimu kata na Wakuu wa shule tutahakikisha tunawafikia walengwa kwa namna moja au nyingine”, walisema hayo Wakurugenzi.

Mkuu wa Wilaya amawaomba Wenyeviti wa halmashauri kupitia Mabaraza ya Madiwani wanahakikisha Waheshimiwa  wote wanasimamia kwa uangalifu  zoezi hili katika  kata zao ili wananchi waweze kupeleka watoto kwa wakati.

Mkuu wa Wilaya amehitimisha kwa kuwahasa wananchi kuwa huduma itatolewa bure kwa maeneo ya vituo vya huduma za Afya na sehemu  mbalimbali zilizotengwa.





#KwaPamoja, Tunaijenga Mbulu Yetu

Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAHIMIZA WANAFUNZI WARIPOTI SHULENI

    January 31, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.