• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

DC MBULU AWATAKA WADAU WA LISHE KUFANYA MAONESHO YA MARA KWA MARA.

Kurushwa hewani: December 2nd, 2023

Na Ruth Kyelula- Afisa Habari

Mkuu wa Wilaya ya Mbulu, Kheri James, amewataka Watendaji wa  Kata za Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu waratibu  maonesho ya mara kwa mara yanayohusu mambo ya Lishe kwenye kata zao.

Hayo yalisemwa na Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Kheri James, wakati akifungua kikao cha Lishe kwa Watendaji wa Kata, kilichofanyika November 23,2023 katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu, kikihudhuriwa na Kaimu Mkurugenzi, Maafisa Lishe, Kaimu Mganga Mkuu, Watendaji wa Kata pamoja na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya.

"Wilaya nyingine wanafanya ninyi mnashindwa nini?wekeni hapo siku hiyo ni mambo ya kuonesha mambo ya Lishe, aina za vyakula vya vitamini A, mafuta yanayotakiwa, lakini nataka niwaambieni mkitengeneza huo utaratibu wa mara kwa mara na ninyi maafisa Lishe mkishuka kule chini kwenye vijiji, watu wataelewa kwa sababu chakula sisi tunacho kinachotushinda ni nini tule ili tuweze kuimarisha Lishe, kwa hiyo hakikisheni Kila siku ujumbe wa Lishe unawafikia wananchi."

Naye Afisa Lishe wa Wilaya Lutengano Emmanuel, alisema kuwa wadau wa Lishe wanataka kubuni Mbinu ambayo itawafanya wanaume waweze kushiriki na kujifunza ili kupata elimu ya mambo ya Lishe, kuhakikisha kwamba hawakosi kwenye malezi ya watoto lakini kushiriki kwa ujumla katika kupambana na Lishe duni kwa jamii inayowazunguka.

Aidha Afisa Lishe alisema kuwa yapo baadhi ya makundi ya vyakula yakiwemo nafaka,mizizi, vyakula vya asili ya wanyama na jamii ya mikunde, ndizi mbichi, mboga mboga za aina zote,matunda ya aina zote na vyakula vyenye asili ya mafuta, sukari na asali. Alisema maji ni muhimu sana lakini hayapo kwenye makundi ya vyakula ila ni muhimu kuyatumia na wanashauri kitaalamu  mtu anywe angalau glasi nane za maji kwa siku kwa mtu mzima ama lita mbili.

Kwa upande wa Afisa Mtendaji Kata ya Maretadu, Saluthary Kossy alisema kuwa amejipanga kwenda kutekeleza maagizo ya Mkuu wa Wilaya na Afisa Lishe kwa kufanya vikao vya ndani,kutembelea vituo vya afya, zahanati kwa ajili ya kukumbusha wakuu wa zahanati na kutoa elimu kabla hawajaanza kutoa huduma kwa wamama wajawazito pamoja na wale wamama wenye watoto chini ya miaka mitano. Na tutatumia elimu kwa vitendo ya kuwaonesha picha na mabango kuhusu Lishe.

Afisa Mtendaji Kata ametoa wito kwa jamii kuzingatia elimu zinazotolewa na wataalamu, zinazotolewa kwa ngazi ya Halmashauri kwa maana watu wa Afya na watumishi wote wa serikali kwa ngazi za kata na vijiji . Na kufuata zile kanuni za masuala ya Lishe kwa ajili ya kujenga Taifa lao la kesho.


Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAHIMIZA WANAFUNZI WARIPOTI SHULENI

    January 31, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.