• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

Mh. Mkuu wa Wilaya ya Mbulu, Sezaria V. Makota Awapongeza Wataalamu wa TARURA Kwa Kusimamia Vizuri Miradi ya Barabara Mbulu

Kurushwa hewani: October 1st, 2021

Katikati Mwenye Nguo Rangi Nyekundu na Weusi ni Mh. Mkuu wa Wilaya ya Mbulu, Sezaria V. Makota Akipokea Taarifa na Maelekezo ya Mradi Huo wa Barabara ya Qaloda hadi Ng'orati.

Mh. Mkuu wa Wilaya ya Mbulu, Sezaria V. Makota Akikagua Nyumba ya Mwalimu Katika Shule ya Msingi Sagha Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu.





~~~~~~~~~~     HABARI KAMILI     ~~~~~~~~~~


Haya yamejiri wakati Mh. Mkuu wa Wilaya S.V.Makota akiwa katika ziara ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya barabara na elimu katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Vijijini. Ambapo katika ziara hiyo Mh.Mkuu wa Wilaya huyo alipokea taarifa ya mradi wa barabara ya kiwango cha vumbi iliyochongwa kwa upana sahihi na kushindiliwa ipasavyo toka kijiji cha Qaloda hadi Ng'orati yenye urefu wa kilometa 11.

Barabara hii ni msaada mkubwa kwa wananchi kwa kuwa itasaidia usafirishaji wa mazao mbalimbali na abiria kitu kitakachochochea ukuaji wa maeneo yote inamopita barabara hii ikiwemo kuongeza ajira baada ya maisha kuboreka kutokana na matokeo chanya ya kuwepo kwa mawasilisano ya barabara ya uhakika.

Hata hivyo  Mh. Mkuu wa Wilaya S.V.Makota aliendelea na ukaguzi huo katika miundombinu ya elimu ambapo alitembelea Shule ya Msingi Sagha ambapo alikuta nyumba 1 ya waalimu ambayo imepauliwa bado umaliziaji. Katika nyumba hiyo Mh. Mkuu wa Wilaya alishauri  kwamba "choo, bafu, jiko na stoo vijengwe kwenye vyumba vya uwani na shimo la choo lijengwe nje, kwani hii itasaidia kuwepo kwa mazingira mazuri na salama kwa mwalimu atakayeishi hapa"

Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YAADHIMISHA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI.

    May 16, 2025
  • KAMATI LISHE YAKAA KIKAO CHA TATHIMINI YA HALI YA LISHE KWA ROBO YA TATU

    May 08, 2025
  • MADIWANI WAPONGEZWA KWA USIMAMIZI MZURI WA MIRADI KATIKA KATA ZAO

    April 29, 2025
  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.