• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

Flatei Cup Yakamilika Ambapo Timu ya SAUMU FC (BASHAY) Yaibuka Kidedea kwa Kuibugiza Mabao 6 kwa 1 Timu ya NOWU FC (TUMATI) na Kukabidhiwa Kombe na Mhe.Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Pauline Gekul (Mb) Leo tarehe 14.11.2021

Kurushwa hewani: November 14th, 2021

Mgeni Rasmi Mhe.Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Pauline Gekul (Mb) Akiongea Katika Kiwanja cha Mpira cha CCM Kata ya Dongobesh - Mbulu



Timu ya Saumu Football Club Wakati Inajiandaa Kuingia Uwanjani.



Timu ya Saumu Football Club Wakiwa kwene Mpambano Mkali.



Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Bw. A.A.Kuuli Akisalimia Wananchi.

Mh.Diwani Viti Maalumu Toka Kata ya Dinamu Akisalimia Wananchi na  Kulia ni Mh.Mbunge Flatei wa Jimbo la Mbulu Vijijini.


Mh. Mkuu wa Wilaya ya Mbulu  Sezaria V. Makota Akisalimia Katika Fainali hizo

Kijana Aitwaye Silviani Dionis  Ndiye Aliyepewa Zawadi ya Mchezaji Mwenye Magori Mengi Jumla ya Magoli 21 Kutoka Timu Yake ya Saumu FC Toka Kata ya Bashay

Timu ya SAUMU FC (BASHAY)  Wakikabidhiwa Kombe Hilo na Mhe.Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Pauline Gekul (Mb)  Kulia ni Mh.Mkuu wa Wilaya ya Mbulu, Sezaria V. Makota  Leo tarehe 14.11.2021








~~~~~~~~~        HABARI KAMILI         ~~~~~~~~~


Haya yamejiri leo ambapo fainali za Kombe la Mh. Mbunge wa Mbulu Vijijini Flatei kukamilika salama na washindi kukabidhiwa kombe za zawadi zingine kemkem. Michezo hii ilianza kutimua vumbi tangu tarehe 03.10.2021 katika kiwanja cha CCM kata ya Dongobesh - Mbulu, kwa kushirikisha timu 29 toka kata zote za jimbo la Mbulu Vijijini. Katika fainali hizi mwisho wake zilibaki timu 8 ambazo ziliingia robo fainali nazo ni   Dongobesh FC toka Kata ya Dongobesh, Mang'nay FC toka kata ya Bashay, Jogoo FC kata ya Gidhim, Jambina FC kata ya Dongobesh, NOWU FC toka kata ya Tumati, Qatajirig Tumati Saumu FC Bashay na WAIS Tango toka kata ya Tumati.


Nusu fainali ilichezwa tarehe 12.11.2021 kati ya Dongobesh FC 0 na Saumu FC 1 kisha tarehe 16.11.2021 Jambina 0 na NOWU 2  na katika kutafuta mshindi wa tatu ikabidi Dongobesh FC wapambane vilivyo na Jambida ambapo matokeo ilikuwa Dongobesh 1 na Jambida 0. Na hatimaye fainali ya leo kukutana uso kwa uso kati ya Saumu FC na NOWU FC ambapo refarii alikuwa Bw. Ahmed Arajiga wa Haydom


Kijana aliyeshambulia nyavu zote dhidi ya NOWU na kusabibisha majanga kwao ni Silviani Dionis  ambaye hata kimagoli peke yake hadi mechi zilipoisha leo alikuwa na jumla ya magoli 21 kutoka timu yake ya Saumu FC toka Kata ya Bashay na yeye ndiyo mchezaji aliyechukua zawadi ya kufunga magoli mengi katika michezo hii ya Mh. Mbunge Flatei. Baada ya ushindi huu zawadi zilitolewa kwa washiriki mbalimbali walioonyesha vipaji vyao zaidi ya wenzao. Timu ya Saumu iliyochukua kombe imekabidhiwa zawadi ya set 1 ya jezi, mpira 1 na fedha taslimu Tsh. 500,000/= Timu ya pili ilikuwa NOWU hii ilipewa zawadi ya set 1 ya jezi, mpira 1 na fedha taslimu Tsh. 400,000/= huku timu ya tatu ilikuwa ni Dongobesh FC ambayo ilipewa zawadi ya mpira 1 na fedha taslimu Tsh. 100,000/=


Hata hivyo zawadi zingine zilikwa za Mchezaji bora ambaye alkuwa ni Paulo Paskali toka timu ya Dongobesh FC kata ya Dongobesh ambaye alipewa jezi 1, golikipa bora alikuwa ni JacobJohn toka timu ya Saumu Kata ya Bashay. Katika fainali hizi Mh. Gekul aliongozana na mwenyeji wake Mh. Mkuu wa Wilaya ya Mbulu  Sezaria V. Makota, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Bw. A.A.Kuuli na viongozi wengine mbalimbali akiwemo Mh.Mbunge Flatei mwenyewe.


Michezo hii ni muhimu sana katika kushajiisha uchumi wa kiwilaya kupanda kwa kusaidia mzunguko wa kifedha kwa mnyumbuliko wa wananchi mbalimbali wanaoshiriki katika mnyororo wa shuguli zote za michezo hii kuanzia ajira na kipato katika usafirishaji, chakula, malazi na mahitaji mengine muhimu huku uendelezaji na ukuzaji wa vipaji vya vijana katika tasnia nzima ya michezo ikikua.  Mh. Mbunge Flatei ni mwanasiasa mwenye juhudi ya kazi, mtazamo chanya na wa kimamboleo katika kila nyanja ya maendeleo katika jimbo la Mbulu Vijijini kwa maslahi mapana ya wanachi wa Mbulu na Taifa kwa ujumla.



Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAHIMIZA WANAFUNZI WARIPOTI SHULENI

    January 31, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.