• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

KAMATI YA BUNGE YAPONGEZA KASI YA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UMWAGILIAJI MBULU.

Kurushwa hewani: November 12th, 2023

���TLAWI - MBULU ��� NOV 12, 2023

Mkuu wa wilaya ya Mbulu Komred Kheri James mapema leo, ameipokea Kamati ya Kudumu ya Bajeti ya Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania iliowasili wilayani Mbulu kwa ziara ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa mradi wa Umwagiliaji Tlawi.     

           

Akizungumza na Wananchi katika Kata ya Tlawi Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mheshimiwa Daniel Sillo, ameeleza kuwa Kamati imeridhishwa sana na kasi ya utekelezaji wa mradi huo ambayo pia imejali viwango vya ubora na thamani ya fedha. Mheshimiwa Sillo ameipongeza Wizara ya Kilimo, Tume ya Umwagiliaji na Uongozi wa Mkoa wa Manyara na Wilaya ya Mbulu kwa usimamizi na ufatiliaji wa karibu wa mradi huo muhimu na wakimkakati kwa faida ya Wananchi.   

 

    

Mradi wa Umwagiliaji - Tlawi unajengwa kwa gharama ya shilingi Bilioni sita na Milioni mia nne, na unatarajiwa kukamilika mwezi Desemba mwaka huu.  Mradi huu utakapo kamilika unatarajia kuleta manufaa kwa Wananchi wapatao 2400 wanaoishi katika vijiji vya Tlawi, Gunineda, Jaranjar, Baidosla na Gendi.                

Pamoja na faida zingine za mradi huu, Wananchi wataweza kulima kwa msimu zaidi ya mmoja, Wataepukana na kilimo cha kutegemea mvua, na kiwango cha Mavuno kitaongezeka na biashara ya mazao ya kimkakati kama kitunguu Swaumu itaimarika.             

  

Akiwasilisha salamu za Serikali katika ziara hiyo  Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mheshimiwa Queen Sendiga ameipongeza Kamati kwa ziara hiyo muhimu, ameeleza dhamira na mikakati ya Serikali ya kuendelea kuibua na kusimamia miradi yote ya kisekta katika mkoa, na ameishauri Wizara ya Kilimo kuangalia upya utaratibu wa kudhibiti bei ya pembejeo ili mkulima alioko kijijini asiumizwe na tamaa za wasambazaji wasiokuwa waaminifu.       

  

Ziara hii pia Imehudhuriwa na Kamati ya Usalama ya wilaya, Viongozi wa Chama cha Mapinduzi, Waheshimiwa Madiwani, Mbunge wa viti maalumu, Viongozi, Watumishi na Wananchi wa kijiji cha Tlawi wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kijiji.   

   

       

Kamati ya Bunge imekamilisha salama ziara yake ya siku moja Wilayani Mbulu, na imewashukuru na kuwapongeza viongozi na Wananchi wa Mbulu kwa ukarimu na makaribisho mema.    

               

 #Kwapamoja, Tunaijenga Mbulu yetu.

Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAHIMIZA WANAFUNZI WARIPOTI SHULENI

    January 31, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.