• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

Kamati ya Siasa (CCM) Mkoa wa Manyara Yapongeza Utekelezaji wa Miradi Bora ya Uviko 19 Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Tarehe 29.12.2021

Kurushwa hewani: December 29th, 2021

Kutoka Kushoto ni Mhe Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Wilaya ya Mbulu, J.G.Mandoo na Katikati  Mwenye Shati la Kijani ni Mhe. Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Manyara, 

Saimon Lulu Wakiwa Katika Ukaguzi wa Miradi ya UVIKO 19 

Ujenzi wa Vyumba 2  vya Madarasa na Ofisi 1 ya Waalimu Shule ya Sekondari Bishop Hhando Kata ya Masqaroda

Ujenzi wa Vyumba 2  vya Madarasa Shule ya Sekondari Yaeda Ampa Kata ya Tumati

Ujenzi wa Vyumba 2  vya Madarasa na Ofisi 1 ya Waalimu Shule ya Sekondari Endoji Kata ya Tumati


Ujenzi wa Vyumba 2  vya Madarasa Shule ya Sekondari Alexander Saulo Kata ya Dongobesh





~~~~~~~~     HABARI KAMILI  ~~~~~~~~   




Haya yamejiri leo ambapo Kamati ya Siasa ya (CCM) Mkoa imekagua utekelezaji wa miradi ya Uviko 19 kwa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu ambapo kitaifa inatakiwa kukabidhiwa tarehe 30.12.2021

Wakiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Manyara Mhe.Saimon Lulu huku wakiwa na Kamati ya siasa ya Wilaya ya Mbulu Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Mbulu, S.V. Makota, Mkurugenzi Mtendaji  wa Halmashauri ya Wialaya ya Mbulu Bw. Abubakar A. Kuuli aliyekuwa na timu ya wataalama mbalimbali katika ukaguzi huo. 

Kimsngi katika sekta ya elimu Halmashauri ya wilaya ya Mbulu ilipokea kiasi cha Tsh 980,000,000/= kwa ujenzi wa vyumba vya madarasa 39 vya Shule za sekondari ikimaanisha chumba 1 Tsh. 20,000,000/= na Tsh 80,000,000/= ikiwa ni fedha za elimu kwa shule za Msingi ambazo ni shikizi kwa vyumba 4 vya madarasa. kwa kweli Utekelezaji wa vyumba vyote 43 vya madarasa ni mzuri mno na wa kiawango cha juu sana. Utekelezaji wa miradi hii kwa hatua iliyofikiwa kwa ujumla ni nzuri sana ila dosari ndogondogo ambazo hazikosekani zirekebishwa, akini zoezi la ufuatiliaji wa madawati uendelee kutoka  kwa wazabuni ili wakamilishe kwa wakati katika shule chache zilizobaki.

Hata hivyo katika majumuisho kamati yote kwa ujumla wao wanashukuru kwa ushirikiano kutoka hamashauri ya wilaya ya mbulu pia wanaishukuru serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Mama yetu mpendwa Mh.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia S.H. kwa kutuletea fedha hizi kwa ajili ya kusaidia elimu katika Wilaya zote Tanzania nzima, fedha hizi ni za mkopo lakini zimegusa kila mtu hadi mwananchi wa chini kabisa na kwa nchi nzima, pia Mhe.Rais Samia S.H. yuko wazi kwa kila jambo katika hili tunamshukuru sana, kwa sasa tunaimani kwamba watoto wetu watapata sehemu nzuri ya kujisomea.





Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAHIMIZA WANAFUNZI WARIPOTI SHULENI

    January 31, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.