• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

Kamati ya Siasa Wilaya ya Mbulu yakagua Miradi ya Maendeleo nyenye thamani ya Bil.1.7

Kurushwa hewani: August 12th, 2023


Ikiwa ni utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi kamati ya Siasa Wilaya ya Mbulu ikiongozwa na Komredi Malkiadi Jacob Nali imefanya ziara kukagua miradi  ya maendeleo inayotekelezwa na Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu mnamo tarehe 10/08/2023.


Komredi Nali ameipongeza Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Dokta Samia Hassan Suluhu kwa kuleta fedha za kutosha kwa halmashauri ya Wilaya ya Mbulu.

Hakika tunayo sababu za kuendelea kujisifia na kupongeza Serikali yetu kwa kutujali wana Mbulu kwani fedha zilizoletwa na zinazoendelea kuletwa ni nyingi hii nikuonesha Serikali yetu inajali wananchi wake.

Miradi iliyotembelewa inajumla ya thamani ya Bil.1.72 ikiwa ni miradi ya Elimu, Afya,Maji na Barabara.

Wajumbe wa Kamati hiyo ya siasa baadaya kutembelea Miradi hiyo ndani ya Wilaya wamempongeza Mbunge wa jimbo la Mbulu Mhe. Flatei Massay pamoja na Madiwani wote kwa kushirikiana katika kusimamia fedha na miradi inayotelezwa ndani ya Wilaya.

Aidha tunapenda kumpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri pamoja na timu ya Wataalam kwa kusimamia miradi vizuri na kuwataka kuhakikisha miradi hiyo inakamilika kwa wakati kwani inapokamilika inasaidia kufikisha huduma zote kwa jamii husika,wataalam niwaombe tuendelee kuonesha utaalam wetu tuliosomea ili miradi yetu ikawe na sifa sitahiki.“Alisema Komredi Malkiadi”

Komredi Malkiadi aliendelea kusema nitafurahi kuona miradi inayoletwa inakamilika kwa wakati na kwa kiwango kizuri kwani hii itaendelea kutujengea heshima ndani na nje ya Wilaya yetu.


Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAHIMIZA WANAFUNZI WARIPOTI SHULENI

    January 31, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.