• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

KIJIJI CHA NG'ORATI CHAOGESHA NG'OMBE 822.

Kurushwa hewani: August 1st, 2023

Ng’orat ni miongoni wa vijiji 76 vilivyopo halmashauri ya wilaya ya mbulu, katika kudhibiti magonjwa ya mifugo wananchi wa Kijiji Cha Ng'orati kilichopo kata ya Ghidihim kimeweza kuogesha ng'ombe 822,mbuzi na kondoo 483. Zoezi hilo lilifanyika siku ya ufunguzi wa josho la kuogeshea ng'ombe mnamo tarehe 14 Julai 2023.

Mkuu wa kitengo Cha Mifugo na uvuvi Mr. Moses Nduligu ametoa wito kwa wananchi wa Kijiji Cha Ng'orati kuwa, wanatakiwa walilinde josho hilo lililozonduliwa na walione kama mali yao kwani ni muda mrefu kijiji hicho kimekaa  bila josho.

"Wanakijiji muone hilo josho ni mali yenu, kwa sababu mmeshiriki kwenye ujenzi kwa kuweka Nguvu zenu za kuleta mchanga, mawe,kokoto, maji na kuchimba shimo.Ambapo mchango wa wenu ni milioni sita kitu ambacho tunajivunia nanyi”.  Alisema Nduligu

Mr. Moses aliendelea kusema kuwa wanakijiji wote wenye mifugo wahakikishe wanaogesha mifugo yao kwa sababu lengo lilikua kupunguza magonjwa ama kuondoka kabisa magonjwa yanayosababishwa na kupe, magonjwa ambayo ni hatari sana kwa ng'ombe na wafugaji.

kwa sasa majosho ambayo yameshakamilika kwa hatua za ujenzi ni la Ng'orati, Bashay, Yaeda chini na Masoderere. Ambapo Kila ujenzi wa josho moja unagharimu zaidi ya shilingi milioni kumi na saba.

Kwa upande wake Afisa mifugo Apolinary Bura, alisema kuwa changamoto ya Josho ilikuwepo muda mrefu, ambapo  ng'ombe hawakuwa wakiogeshwa ambapo ikipeleka ng'ombe kuugua na kudhoofika. Aidha umbali wa majosho ulipelekea ng'ombe wengi kupotea wanapochanganyika na wengine.

kutokana na changamoto hizo idara ya Mifugo  walipata  wazo la kuongeza majosho kwa kila kijijij, na miongoni wa vijiji hivyo ni kijiji cha Ng’orat ambapo wanakijiji walilipokea wazo hilo na mwamko wao wa kushiriki ulikua mkubwa.

Naye Mwenyekiti wa Kijiji Cha Ng'orati Stephen Ammo amewaomba wanakijiji kutunza miundombinu ili iendelee kuwanufaisha kwa muda mrefu. Lakini pia ameiomba Serikali kuendelea kutoa Elimu kwa wananchi kwa sababu uelewa wa wananchi kuhusu magonjwa ya kupe ni mdogo.

Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YAADHIMISHA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI.

    May 16, 2025
  • KAMATI LISHE YAKAA KIKAO CHA TATHIMINI YA HALI YA LISHE KWA ROBO YA TATU

    May 08, 2025
  • MADIWANI WAPONGEZWA KWA USIMAMIZI MZURI WA MIRADI KATIKA KATA ZAO

    April 29, 2025
  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.