Kiswahili
  • English
  • Kiswahili
    • Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

Mafunzo Maalumu ya Timu ya Uchanjaji Chanjo ya Uviko 19 Yawa Chachu Katika Kuongeza Kasi ya Uchanjaji Katika Kikao Kazi Tarehe 30.07.2022

Kurushwa hewani: July 31st, 2022

Wataalamu wa Vituo vya Kutolea Huduma za Afya Wakiwa Kwenye Kikao Kazi cha Mafunzo ya UVIKO 19 Kilichofanyika Katika Ukumbi wa Kanisa la Kiinjiri la Kilutheri Tanzania Mbulu Mjini.


Kutoka Kushoto ni Kaimu Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Dr. Pellagia Shirima na Anayefuata ni Katibu wa Idara ya Afya Wilaya Bi. Monica Shauri

Wataalamu Hao Wakiwa Katika Mafunzo Kwenye Ukumbi Huo


Katika Kikao Hicho Aliyesimama ni Mratibu wa Njanjo Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Ndugu Ali Suleman Ali

MBULU MAFUNZO CHANJO 30.07.2022.jpg







~~~~~~~~~~~     HABARI KAMILI     ~~~~~~~~~~~



Katika kuifanya Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu na taifa kwa ujumla kuwa salama na maambukizi ya ugonjwa wa UVIKO 19 ili kuwafanya wananchi waendelee kufanya kazi zao za kiuchumi na kijamii bila shida, kumefanyika mafunzo maalumu ili kuongeza kasi ya uchanjaji miongoni mwa jamii. Malengo mahususi ya mafunzo haya ni Kufahamu majukumu mbalimbali wakati wa kutoa chanjo, Kujadili jinsi ya kutoa chanjo wakati wa kampeni  na Kufahamu ujumbe muhimu kwa jamii wakati wa utoaji wa chanjo.


Timu hiyo inajumuisha wataalamu wa afya makao maku ya Halmashauri ya Mbulu, Maafisa tehama katika kutoa msaada wa kiufundi katika mfumo wa usajiri wa UVIKO 19, hata hivyo wataalamu wa vituo vyote vya kutolea huduma ya afya katika Halmashauri ya wilaya ya Mbulu katika kata zote zipatavyo 18 ambapo huu ni mkakati wa kimkoa katika Halmashauri zote kuhakikisha wananchi wanachanjwa kwa 40% hadi tarehe 08.08.2022 na 70% desemba 2022 lakini hadi tarehe 28.07.2022 kimkoa ilikuwa ni 32%.


Katika mafunzo hayo walikuwepo wawakilishi toka Wizara ya Afya, Mkoa wa Manyara na watalaamu kutoka Shirika wahisani la Japani JHPIEGO kwa kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Imefahamika hadi sasa ugonjwa wa UVIKO 19 bado upo hivyo kila mwananchi ajikinge kwa kila njia kama vile kunawa mikono kwa maji tiririka na vitakasa mikono "sanitizer" , kuvaa barakoa, kukaa umbali wa zaidi ya mita moja kati ya mtu na mtu,  kuziba mdomo wakati wa kukohoa kwa kiwiko cha mkono na endapo ukihisi dalili zozote za UVIKO 19 basi fika kituo cha kutolea huduma kilichokaribu kwa ajili ya kupata matibabu au toa taarifa kwa ndugu na majirani wakusaidie. Dalili za uviko-19 ni pamoja na: homa, kikohozi, mafua, kuchoka mwili, kukosa pumzi, maumivu ya misuli ya mwili mtu yeyote anaweza kupata maambukizi ya ugonjwa huu. watu walio na umri zaidi ya miaka 60 na wale wenye magonjwa mengine mfano kisukari, shinikizo la damu na mengine mengi wapo katika hatari kubwa ya kupata ugonjwa huu na kupelekea kifo.


katika kampeni hii ya lipa kwa matokeo vituo vyote vya kutolea huduma ya afya vitakuwa vitatoa huduma hii ya kuchanja na wengine watakuwa wakitembea nyumba kwa nyumba. Aina ya chanjo zilizopo ni Janssen n Jansseni ambayo ni ya dozi 1 na Sinopharm ya dozi 2 tu  zote hizi ni salama kwa afya yako.


Mteja anaweza kujisajiri ili kubuku "booking" yeye mwenyewe na wapi anahitaji achanjwe kupitia  mtandaoni kiganjani mwake katika kiunganisi hiki https://chanjocovid.moh.go.tz ambapo imefahamika kwamba inafanya vizuri zaidi kupitia vivinjari "browsing software"aina ya mozzira, google chrome na opera, lakini hata kama muhusika hawezi kufanya yote haya mlango uko wazi fika moja kwa moja katika kituo cha kutolea huduma ya afya utasajiriwa hapo na kupata huduma hapo hapo. Uwepo wa mifumo hii unamuwezesha mwananchi kuomba na kupata huduma popote Tanzania na wataalamu wa afya huangalia ripoti mbalimbali na kufanya maamuzi kulingana na namana yalivyoombwa kwenye mfumo.


Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAHIMIZA WANAFUNZI WARIPOTI SHULENI

    January 31, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.