• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

MBULU KAMILISHENI MIRADI VIPORO

Kurushwa hewani: June 26th, 2024

Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara Marium Muhaji ametoa wito kwa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu kukamilisha kwanza miradi kiporo iliyoanzishwa kwa nguvu ya wananchi kabla ya kuanzisha miradi mipya katika mwaka wa fedha 2024/2025. 

Mariam ametoa maelekezo hayo katika kikao Maalum cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu cha kupitia taarifa ya Ukaguzi wa hesabu za Serikali iliyofanywa na mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha 2022/2023 ambapo miradi kiporo 11 ni miongoni mwa hoja 13 za CAG katika taarifa ya ukaguzi wa hesabu za Halmashauri hiyo licha ya halmashauri hiyo kuwa na hati safi kwa miaka mitatu mfululizo. 

Amesema kuchewa kukamilisha miradi iliyoanzishwa na wananchi ni kukatisha tamaa jitihada zao za kuanzisha miradi hiyo na pia kuchewesha wananchi kuanza kunufaika na miradi hiyo katika maeneo husika. 

Kwa mujibu wa taarifa hiyo ya ukaguzi Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu haijakamilisha miradi 11 inayohitaji shilingi milioni 145.723 kati  jumla ya shilingi Milioni 293.96 zilzokuwa zimetengwa kwa ajili ya miradi hiyo. 

 

Miradi iliyohojiwa katika ripoti hiyo ya CAG ni pamoja na ukarabati wa Machinjio ya Dongobesh, ujenzi wa madarasa mawili katika shule ya sekondari Bishop Hhando, madarasa mawili katika shule ya sekondari Dkt Olsen, Ujenzi wa maabara na matundu 12 ya vyoo katika shule ya sekondari Kari pamoja na ujenzi wa matundu 12 ya vyoo katika shule ya sekondari Masieda. 

Miradi mingine ni ujenzi wa choo katika kituo cha Mabasi Haydom, Ujenzinwa maabara katika shule ya sekondari Bashay, ukamilishaji wa jengo la wagonjwa wa nje katika zahanati ya Endagichan na Ujenzi wa nyumba za watumishi katika zahanati ya Mongo wa mono

Katibu Tawala Mariam Muhaji amesisitiza Halmashauri hiyo kutumia mapato yake ya ndani kukamilisha  Miradi hiyo kwakuwa itakapokamilika  itasaidia kupunguza lawama kutoka kwa wananchi kwamba Serikali inatelekeza miradi yao na kuanza kunufaisha wananchi. 








Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAHIMIZA WANAFUNZI WARIPOTI SHULENI

    January 31, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.