• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

Mh. Anna Makinda Spika wa Bunge Mstaafu (Kamisaa wa Sensa na Makazi), Azindua Majaribio ya Sensa ya Watu na Makazi Yaliyofanyika Kimkoa Wilayani Mbulu Kata ya Eshkesh Tarehe Kijiji cha Domanga 06.09.2021

Kurushwa hewani: September 7th, 2021



Kutoka Kushoto ni Mh. Mbunge Jimbo la Mbulu Vijijini Flatei Massay, Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Vijijini J. Mandoo, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Bw. Abubakar Kuuli Wakiwa Katika Uzindua Huo wa Sensa ya Majaribio ya Watu na Makazi Kata ya Eshkesh Kijiji cha Domanga.



Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Vijijini J. Mandoo Akizungumza na Wananchi.



Kutoka Kulia ni Katibu Tawala  wa Wilaya ya Mbulu Bi. S.Sanga.


 Mh. Mbunge Jimbo la Mbulu Vijijini Flatei Massay Akimsikiliza Mama wa Kihadzabe Akiongea Katika Mkutano Huo


 Hapo Chini ni Watumbuizaji kwa Ngoma za Kiasili Wakifanya Mambo Yao Kma Inavyoonekana Kwenye Picha Katika Mkutano Huo






Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri ya Mbulu Mji na Vijijini Wakiteta Jambo




~~~~~~~~~~~~~~~~~     HABARI KAMILI    ~~~~~~~~~~~~~~~~~ 





Mgeni rasmi huyo Mh. Anna Makinda Spika wa Bunge Mstaafu na Kamisaa wa Sensa Kitaifa, amezindua zoezi hili katika halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Kata ya Eshkesh Kijiji cha Domanga.  kimsingi Kijiji cha Domanga katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Vijijini ni miongoni mwa vijiji 13 vya Tanzania nzima na Wilaya 11 nchi nzima ikiwa ni kijiji cha majaribio ya sensa ambayo yanatarajia kufanyika rasmi mwezi Agosti 2022 alisema Kamisaa Mh. Anna Makinda.


Serikali kupitia taasisi ya Takwimu ya Taifa (NBS) imeamua kuchukua kijiji hiki kwasababu maalumu ili kuzitambua mapema changamoto za makundi mbalimbali ya vijiji  tofauti tofauti kwa nchi nzima ili kwamba  changamoto zitakazoonekana kwa sasa hivi basi zitapelekea utatuzi wa mapema ili kuhakaikisha upatikanaji wa takwimu sahihi na kwa wakati kwa watu wote kwa maslahi mapana ya nchi yetu zinawezekana. Sensa hii ni muhimu kwa Taifa kwa kuwa husaidia kufahamu mahitaji ya taifa kwa kila sekta. 

Kabla ya kufanya sensa ya watu na makazi, ni kawaida kufanya sensa ya majaribio mwaka mmoja kabwa ili kupima utayari wa serikali katika kufanikisha kazi hiyo zikiwemo nyenzo zitakazotumika yakiwemo madodoso, miongozo na matumizi ya teknolojia ya vishikwambi.

Sensa hii ya majaribio ni maandalizi ya sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022. Sensa ya watu na makazi ni utaratibu wa kukusanya, kuchambua, kutathmini na kuchapisha na kusambaza takwimu za kidemographia, kiuchumi na kijamii kuhusiana na watu wote na makazi yao katika nchi kwa kipindi maalumu.


Hata hivyo, katika kijiji cha Domanga wanapatikana wenyeji wa kabila la wahadzabe na wadatoga ambao maisha yao kwa ujumla ni ya kiasili zaidi kama vile kuishi kwa chakula cha kitamaduni ambacho ni matunda pori, asali, nyama pori na mizizi, hivyo hupelekea shuguli kuu za kijamii na kiuchumi ni uwindaji wa porini. Serikali katika utekelezaji wa jaribio hili kwa jamii hii ya wahadzabe na wadatoga watatafuta kitoweo kitakachowafaa kama kihamasisho ili waweze kufanikisha upatikanaji wao na ushrikiano wa kutosha.


Zoezi hili linatarajia kuanza tarehe 11.09.2021 kwa Wilaya zote.


Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAHIMIZA WANAFUNZI WARIPOTI SHULENI

    January 31, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.