• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

Mh. Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Makongoro Nyerere Aipongeza Wilaya ya Mbulu kwa Usimamizi Mzuri Kwa Kufikia Zaidi ya 90% Katika sensa ya Watu na Makazi ya Majaribio Inayofanyika Kitongozi cha Domanga tarehe 17.09.2021

Kurushwa hewani: September 18th, 2021

Mh. Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Makongoro Nyerere Akizungumza Katika Mkutano wa Hadhara na Wananchi wa Kitongoji cha Domanga Kijiji cha Eshkesh Kata ya Eshkesh.

Mh. Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Makongoro Nyerere Akisindikizwa na Mwenyeji Wake Mh. Mkuu wa Wilaya ya Mbulu, Sezaria V. Makota Katika Kitongoji cha Domanga - Mbulu



Mh. Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Makongoro Nyerere Akiwasalimia Wajumbe wa Kamati ya Sensa Ngazi ya Kata na Kijiji



Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Bw. Abubakar Abdallah Kuuli na Kulia ni Katibu Tawala Wilaya ya Mbulu Ndugu Sara Sanga

Katibu Tawala Wilaya ya Mbulu Ndugu Sara Sanga Akitambulisha Wajumbe Mbalimbali Katika Kikao Kazi Hicho


Katibu Tawala Mkoa wa Manyara Akisalimia Katika Kikao Kazi Hicho



Mh. Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Makongoro Nyerere Akizungumza na Kamati zote za Sensa ya Mkoa, Wilaya, Kata na Kijiji Katika Kikao cha Ndani Kitongoji cha Domanga




Mh. Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Makongoro Nyerere Akisindikizwa na Mwenyeji Wake Mh. Mkuu wa Wilaya ya Mbulu, Sezaria V. Makota Wakiwasili Katika Uwanja wa Mkutano wa Hadhara Katika Kitongoji cha Domanga - Mbulu



Mh. Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Makongoro Nyerere Akiwa na Wananchi wa Domanga Akicheza Ngoma za Kienyeji


Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu J. Mandoo Akisalimia Katika Mkutano wa Hadhara

Mh. Diwani wa Kata ya Eshkesh Akisalimia Katika Mkutano wa Hadhara


Mh. Mbunge wa Jimbo la Mbulu Flatei Massay Akisalimia Katika Mkutano wa Hadhara


Mh. Mkuu wa Wilaya ya Mbulu, Sezaria V. Makota Akimkaribisha Mh. Mkuu wa Mkoa M. Nyerere


Mh. Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Makongoro Nyerere Akimkabidhi Zawadi ya TSh. 100,000.00 Mwakilishi wa Kina Mama wa Kihadzabe na Kigatoga.











~~~~~~~~~~~~~~~~    HABARI KAMILI   ~~~~~~~~~~~~~~~~



Haya yamejiri baada ya Mh. Mkuu wa Mkoa M.Nyerere kukutana na wananchi husika kisha kukagua na kujiridhisha maendeleo ya zoezi hili katika Kata ya Eshkesh Kijiji Eshkesh Kitongoji cha Domanga zoezi lililoanza tarehe 11.09.2021 na litakamilika tarehe 19.09.2021 ambapo kaya zipatazo 110 zinatarajiwa kufikiwa katika udodosaji huu ambapo hadi tarehe 16.09.2021 kaya zipatazo 96 zilikuwa tayari zimeshafikiwa ambayo ni sawa na 87.2% ambayo kitaifa Mkoa wa Manyara Wilaya ya Mbulu inaongoza hadi sasa.

Msafara wa Mh. Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Makongoro Nyerere uliopokelewa na mwenyeji wake Mh. Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Sezaria V. Makota ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Sensa na Makazi ngazi ya Wilaya ulipokelewa kwa nderemo, hoihoi na vifijo vilivyoshajiishwa zaidi na nyimbo za kienyeji za kihadzabe na kigatoga kitu ambacho ilikuwa ni furaha sana kwa wenyeji hawa kutembelewa na Mh. Mkuu wa Mkoa Huyu.

Mafanikio haya yametokana na usimamizi mzuri wenye mikakati suluhishi ya changamoto za sensa kwaeneo husika ambapo ushirikishwaji wa wazee maarufu ambao ni wenyeji kuwasikiliza wanahitaji kitu gani ili kufanikisha zoezi hili ambao nao walisema watahitaji nyama pori aina ya nyumbu, kitoweo ambacho kilipatikana kwa wingi baada ya serikali kuwa sikivu na kuridhia kuwafanyia hivyo wananchi wake kwa maslahi mapata ya Taifa. Katika Mkutano mkuu wa hadhara uliojaa pomoni kwa wananchi hawa Mh. Mkuu wa Mkoa M. Nyerere amewaomba wenyeji hawa waendelee kutoa ushirikiano wa dhati kazi zoezi hili.

Katika kuhitimisha  Mh. Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Sezaria V. Makota amemshukuru Mh. Mkuu wa Mkoa M. Nyerere kwa kushiriki katika mkutano huu na anaishuruku serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Mh.Rais, Samia S.H. kwa kuendelea kuwajali wananchi wa Wilaya ya Mbulu kwa kuleta fedha za miradi mbalimbali kama vile ujenzi wa kituo cha Afya Kata hii ya Eshkesh kilichopokea kiasi cha Tsh. Milioni 400 ambapo ujenzi unaendelea, ujenzi wa daraja nao unaendelea kata hii hii. Lakini changamoto kubwa ni ya maji ambapo Mh. Mkuu wa Mkoa amelipokea na ametamka atalifanyia kazi na kipindi atakaporudi kutembelea miradi Wilaya ya Mbulu basi atakuwa na majibu ya kero hii.



Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAHIMIZA WANAFUNZI WARIPOTI SHULENI

    January 31, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.