• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

Mh. Mkuu wa Wilaya ya Mbulu, Sezaria V. Makota Apokea Taarifa ya Maendeleo ya Zoezi la Majaribio ya Sensa ya Watu na Makazi ya Kitongoji cha Domanga Tarehe 17.09.2021

Kurushwa hewani: September 18th, 2021

Mh. Mkuu wa Wilaya ya Mbulu, Sezaria V. Makota Akifungua Kikao Kazi cha Kamati ya Sensa na Makazi ya Majaribio Ngazi ya Wilaya Katika Ukumbi wa Kituo cha Elimu cha Gote, Mbulu - Dongobesh


Mh. Mkuu wa Wilaya ya Mbulu, Sezaria V. Makota Akifungua Kikao Kazi cha Kamati ya Sensa na Makazi ya Majaribio Ngazi ya Wilaya Katika Ukumbi wa Kituo cha Elimu cha Gote, Mbulu - Dongobesh


Aliyesimama ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Bw. Abubakar Abdallah Kuuli Akizungumza  Katika Kikao Hicho.

Aliyesimama ni Mratibu wa Sensa Wilaya ya Mbulu Bw. Bashage Bura Akiwasilisha na Kutoa Ufafanuzi Taarifa ya Zoezi la Sensa na Makazi la Majaribio Katika Kikao Hicho.


Wajumbe wa Kamati ya Sensa na Makazi ya Mjaribio Ngazi ya Wilaya Wakiwa Katika Kikao Hicho.








~~~~~~~~~~~~~~~~~      HABARI KAMILI   ~~~~~~~~~~~~~~~~~



Mh. Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Sezaria V. Makota ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Sensa na Makazi ngazi ya Wilaya amepokea taarifa hiyo mbele ya kamati husika iliyokuwa na kikao kazi katika ukumbi wa kituo cha elimu cha Gote Kata ya Dongobesh Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu. Amesifu uwasilishaji huu wa mratibu wa sensa Wilaya Bw. Bashage Bura, utendaji kazi wa timu nzima  ya wataalamu na makarani wao katika zoezi hili la sensa.


Katika mawasilisho hayo mratibu huyo Bw. Bashage Bura amesema zoezi hili linaendelea vizuri sana baada ya kuanza tarehe 11.09.2021 ambapo litamalizika terehe 19.09.2021 ambapo  hadi kufikia tarehe 16.09.2021 tayari kaya 96 kati ya 110 sawa na 87.2% zilikua tayari zimeshafikiwa.

Mratibu huyu aliendelea kwa kusema Serikali kupitia taasisi ya Takwimu ya Taifa imeamua kuchukua kijiji hiki cha Domanga Kata ya Eshkesh kwasababu maalumu ili kuzitambua changamoto zilizopo kisha kuzifanyia kazi mapema kama vile jografia ya eneo la Kitongoji hiki, mila na desturi za wakazi wa kitongoji cha Domanga yaani wahadzabe na wadatoga na pia shuguli za kiuchumi na kijamii wanazozifanya watu hawa.


"sensa hii ya majaribio ni maandalizi ya sensa ya watu na makazi ya Agosti, 2022. sensa ya watu na makazi ni utaratibu wa kukusanya, kuchambua, kutathmini na kuchapisha na kusambaza takwimu za kidemographia, kiuchumimi na kijamii kuhusiana na watu wote na makazi yao katika nchi kwa kipindi maalumu. Sensa hii ni muhimu kwa taifa kwa kuwa husaidia kufahamu mahitaji ya Taifa kwa kila sekta katika nyanja mbalimbali.


Mh. Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Sezaria V. Makota ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Sensa na Makati ngazi ya Wilaya amesisitiza kwa wataalamu na kamati kwa ujumla wao kuendelea kuwa na ushirikiano, kusaidiana kwa dhati ili kufikia 100% ya kaya zinazohitajika kufikiwa hapo tutakuwa tumefikia malengo yaliyokusudiwa.


Hata hivyo, baada ya kujua hali halisi ya  maeneo yetu pamoja na Kitongoji cha Domanga tutaweza kufanya maamuzi sahihi ya nini serikali ifanye ili kusaidia wananchi kulingana na matokeo ya sensa hii na ya mwakani.

Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAHIMIZA WANAFUNZI WARIPOTI SHULENI

    January 31, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.