• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

Mkurugenzi Kuuli aongoza zoezi la Usimikaji wa Nguzo za Barabara katika Mji wa Dongobesh

Kurushwa hewani: May 20th, 2022


Ndugu Abubakari Kuuli Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu akiweka udongo wakati wa usimikaji wa Nguzo za barabara

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu ndugu Abubakari Kuuli leo ameongoza zoezi la usimikaji wa Nguzo za barabara ili kuweza kuonesha uelekeo wa barabara ikiwa ni utekelezaji wa zoezi la anwani na Makazi linaloendelea katika Halmashauri hiyo.

ndugu Horace Kolimba akiwa na furaha mara baada yakuona kibao cha barabara kilichosimikwa katika mji wa Dongobesh

Kutoka kushoto ni Ndugu Sadoth Kyaruzi Mratibu wa NaPa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu, Ndugu Abubakari Kuuli (Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu) na Ndugu Horace Kolimba (Afisa Utumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu0 kwa Pamoja wakifurahi mara baada ya zoezi la usimikaji wa nguzo za barabarabara kukamilika

Ndugu Kuuli amempongeza  Mratibu wa zoezi hilo ndugu Sadoth Kyaruzi kusimamia vizuri zoezi hilo kwa kushirikiana na timu yake ya Napa  na kufanikisha usimikaji wa nguzo zaidi ya 20 katika Mji wa Dongobesh, amemuomba kuendelea na zoezi hilo mpaka ifikapo tarehe 30/05/2022 hakikishe maenomengine ya kiutwala yaliyobaki yawe yamewekewa nguzo zote za Mtaa pamoja na vibao vya nyumba na Makazi vimekamilika.

moja ya nguzo ya barabara ikionesha mtaa husika

Aidha baadhi ya Wananchi wa Mji wa Dongobesh wakiongoza na Mhe. Joseph Barabojick (Diwani wa kata ) wameishukuru Serikali kwa kuleta utaratibu wa utambuzi wa maeneo hasa katika mji huo unao kuwa kwa kasi na hii ikiwa ni mara baada ya kuhamishia Makao Makuu ya Halmshauri na kuweza kusadidia hata kwa mgeni aingiapo katika Mji huo anaweza kujionea ni kwa jinsi gani ulivyopangika na ukiwa na alama za barabara kama jinsi nguzo hizo zinavyoonesha maeneo mbalimbali.

Mhe. Joseph Barabojick Diwani wa kata ya Dongobesh akisoma kwa makini jina la Mtaa lililoandikwa katika moja ya nguzo zilizo simikwa

Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAHIMIZA WANAFUNZI WARIPOTI SHULENI

    January 31, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.