• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

MKURUGENZI MSAIDIZI WA MIFUMO YA TEHAMA Ndugu KIBOLA OR- TAMISEMI AZINDUA MAFUNZO YA MFUMO WA MAPATO

Kurushwa hewani: November 20th, 2017

DOdoma

Mkurugeniz msaidizi wa mifumo ya TEHAMA-OR TAMISEMI ndugu Baltazari Kibola, amfungua mafunzo rasmi leo katika ukumbi wa mafuzo Epicor dodoma, akifungua mafunzo hayo Mkurugenzi amewaomba washiriki kuwa makini kuzingatia mafunzo yatakayotolewa na wawwezeshaji.

akizungumza  mbele ya washiriki 27,kutoka halmashauri 17 wanaowawakilisha Maafisa TEHAMA na Wahasibu wa Mapato amewaomba washiriki hao kuwa makini ili kuweza kupata mafunzo yatakayowasaidia pindi warudipo kwenye vituo vyao vya kazi waweze kutatua kwa umakini changamoto zinazowakabili kupitia mfumo wa Mapato (LGRCIS)


                                                              MKURUGENZI MSAIDIZI WA MIFUMO YA TEHAMA NDUGU BALTAZAR KIBOLA(aliyesimama) akiwa ameambatana na MRATIBU WA MFUMO WA MAPATO NDUGU MANDA(wa kaza kushoto) pamoja na mwenyekiti wa washirik wakimsikiliza mwenyekeiti

Aidha Mkurungezi Msaidizi amewaomba washiriki kuonesha ushirikiano ili kuweza kusaidia Halmshauri kutatua changamoto zinazojitokeza mara kwa mara kwenye mfumo, na hii ndio sababu kuombwa na Wakurugenzi kushiriki katika mafunzo hayo siku ya leo. akisisitiza mafunzo haya amewaomba washiriki kuwa makini zaidi kuzingatia mambo yafuatayo:-

usimamizi na matumizi sahihi ya vifaa vya kukusanyia Mapato (POS)

Kuzingatia mgawanyo wa majukumu kwa watumiaji wa mfumo wa mapato kwa kuzingatia kada ya Afisa TEHAMA,Afisa Mapato,Cashier,Afisa biashara na Mwekahazina

Kuepuka utengenzaji wa bill mbili mbili hasa wakati wakutengeneza bill kwenye kipengele cha miscellaneous

Kubaini makosa  yanayofanywa kwa kukusudia au bahati mbaya na mkusanya mapato

Kuwa makini zaidi katika kusajili mashine za kukusanyia mapato ili kuweza kuepuka ukusanyaji wa chanzo kimoja kuingilia na chanzo kingine

                                                                                                                     BAADHI YA  WASHIRIKI WAKIMSIKILIZA MKURUGENZI MSAIDIZI WAKATI WA UFUNGUZI WA MAFUNZO YA MFUMO WA MAPATO


                                                                                                                                    washiriki toka halmashauri mbalimbali wakiendelea kusikia ushauri kutoka kwa Mkurugenzi wakati wa ufunguzi wa mafunzo



                                                                                                                                 Afisa TEHAMA kutoka muheza,ambaye pia ni katibu akionesha sura ya tabasamu mara baada ya kupitia mfumo



                                                                                                       Afisa TEHAMA kutoka halmshauri ya Babati (wa kwanza kulia)akiwa na Afisa Mapato kutoka halmshauri ya Wilaya Mbulu kwaiendelea kupitia mfumo wa mapato

Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAHIMIZA WANAFUNZI WARIPOTI SHULENI

    January 31, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.