• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Charles M. Nyerere Akabidhi Kitoweo cha Wanyama Pori Kwa Makundi Maalumu Ili kufanikisha Zoezi la Sensa Mbulu

Kurushwa hewani: August 22nd, 2022

Aliyevaa Suluari ya bluu na miwani ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Charles M. Nyerere, kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Mhe. Sezaria V. Makota, Kulia ni Mbunge Jimbo la Mbulu Vijijini Mhe. Flatei Massay, Katibu Tawala Mkoa wa Manyara Ndg. C. Mthapula na mwisho ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Ndg. Abubakar A. Kuuli.





PAKUA BANGO HAPO CHINI


MBULU DC NYUMBU SENSA 1.jpg

MBULU DC NYUMBU SENSA 2.jpg

MBULU DC NYUMBU SENSA 3.jpg


Leo tarehe 22.08.2022 Mhe.Nyerere ametimiza ombi la makundi maalumu haya ya wadatoga, wahadzabe, wamang'ati na wengine wachache wanaoishi Vitongoji vya Domanga, Endanyawish na Mongo wa Mono Wilayani Mbulu Mkoani Manyara. Mkuu wa Mkoa huyo amesema tunamshukuru sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu H. kwa kuridhia ombi hili alolipeleka na kupewa kibali kupitia Waziri mwenye dhamana wa Mali asili na Utalii kutoa kibali cha kuwinda wanyama hawa jamii ya nyumbu 20 hadi kuwafikisha hapa ili watanzania wenzetu waweze kuhesabiwa vizuri kabisa badala ya kwenda kuhangaikia kutafuta chakula ili hali kusingekuwepo na taarifa yoyote katika makundi haya juu ya sensa.

Hata hivyo jamii hii walifurahi sana na kujaa pomoni katika mapokezi haya ya kumlaki Mheshimiwa Nyerere yaliyoshajiishwa na burudani kali za ngoma za kiasili. Viongozi waliohudhuria katika zoezi hili wakiongozana na Mhe. Mkuu wa Mkoa huyo ni Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa, Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Mbulu, Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu ambaye naye aliongozana na wakuu wa Idara kadhaa ikiwa ni jumuisho la kamati ya sensa ya wilaya ya mbulu.


Matangazo

  • HERI YA SIKU KUU YA NANENANE KWA WANANCHI WOTE NA MATUKIO YA NANENANE 08.08.2022 August 08, 2022
  • MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA 2022 HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU December 01, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2023 HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU December 14, 2022
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • Unjezi wa Barabara ya Lami Wapamba Moto Katika Sehemu ya Kata ya Masqaroda Ikiwa ni Kipande Kinachounga Kutoka Karatu Hadi Singida Mbulu Wilaya

    September 18, 2022
  • Maafisa wa Taasisi ya Ustawi wa Wanyama Tanzania (TAWESO) Watoa Mafunzo ya Usimamizi Bora wa Mifugo Minadani na Katika Usafirishaji Kwa Wataalamu wa Mifugo Wilayani Mbulu Tarehe 02.09.2022

    September 05, 2022
  • Mhe. DC, Makota; Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Ndg. Abubakar A. Kuuli ni Jembe Kwa Kuvuka Lengo la Mapato Kwa 7% Zaidi Mwaka 2021/2022.

    September 02, 2022
  • Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Charles M. Nyerere Akabidhi Kitoweo cha Wanyama Pori Kwa Makundi Maalumu Ili kufanikisha Zoezi la Sensa Mbulu

    August 22, 2022
  • Tazama zote

Picha Jongefu

Burudani yaTwist yanogesha sherehe ya Wanawake Dongobesh
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.