• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

NMB Mbulu yatoa msaada wa vifaa vyenye thamani ya Tsh. Milioni 22.

Kurushwa hewani: April 15th, 2023


Komredi Heri James Mkuu wa Wilaya ya Mbulu (Mgeni rasmi) akipokea stuli toka kwa Meneja wa kanda wa Benki ya Nmb ndugu Dismas Prosper.


Madawati pamoja Stuli zilizodhaminiwa na Benki ya NMB

Akipokea leo msaada uliotolewa na Benki ya Nmb Mbulu, Mgeni rasmi Komredi Heri James Mkuu wa Wilaya amesema kuwa anawashukuru Nmb kwa kuwaona na kuweza kuwasaidia vifaa hivyo licha ya wahitaji kuwa ni wengi, msaada leo mnao utoa leo sio kidogo kabisa kama inavyotamkwa. Anapenda kuipongeza nmb  kwa kuwa mstari wa mbele kwa kuunga juhudi za dhati za Mhe. Rais wa jamhuri ya Muungano wetu katika sekta ya elimu na afya.


Meneja Mahusiano na Biashara wa Kanda wa Benki ya NMB Bi. Chiristabel Hiza akisalimiana na Mgeni rasmi


Meneja wa Kanda wa Benki ya NMB ndugu Dismas Prosper akisalimiana na mgeni  rasmi. 



Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mbulu ndugu Fred Myenzi akisalimiana mgeni rasmi Komredi Heri Jame Mkuu wa Wilaya ya Mbulu.



Mbunge wa Jimbo la Mbulu Mhe. Flatei Massay akisalimiana na mgeni rasmi Komredi Heri James Mkuu wa Wilaya ya Mbulu.




Ili kuonesha dhamira njema waliyonayo wadau wetu amewaomba wanafunzi,walimu na wananchi kuvitunza vifaa vyetu kwa bidii sana ili visaidie kwa leo na kesho.

 

Kutoka kushoto ni  Katibu Tawala wa Wilaya ya Mbulu Bi. Sarah, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mbulu Mhe.Joesph Mandoo wakiteta jambo la Viongozi  wa Benki


Bi. Sarah Katibu Tawala akiongea jambo wakati wa hafla ya makabidhiano


Komredi James pia ametoa wito kwa wadau wengine mbalimbali kuiga mfano unaotolewa na wenzao kwani wana wajibu wa kurudisha shukurani kwa wananchi kwa kugawana  faida wanayokuwa wanakusanya ilikuunga juhudi za dhati za maendeleo, kwani mafanikio hayaji bila  kuungana.

Meneja wa Benki ya NMB Wilaya ya Mbulu ndugu Rogate Iranga akiongea jambo.



Meneja wa Beki ya NMB Mbulu akiteta jambo na Mwenyekiti wa Halamashauri ya Wilaya ya Mbulu


Aidha napenda kumpongeza  Mhe. Flatei Mbunge wa jimbo la  Mbulu kwa  kuwa ni mmoja ya wabunge anawaohitaji kwani amekuwa mstari wa  mbele katika maendeleo hii.



 Meneja wa Beki ya NMB Mbulu akiteta jambo na Mwenyekiti wa Halamashauri ya Wilaya ya Mbulu.


“Ikiwa katika kuendana na Kauli mbiu inayosema Nmb karibu yako,benki yetu leo tumeamua kuja karibu yako kwa kuungana nanyi katika kusukuma maendeleo kwa wananchi kwa kugusa kada mbalimbali za elimu na Afya .

Tumeamua kuja kusaidiana na  kutoa  shukrani kwa wananchi ikiwa nikurudisha sehemu ya faida kwa wananchi wa Mbulu hasa kwa kugusa kada ya elimu,kwani benki yetu imekuwa na utamaduni wa kutoa sehemu ya kile tunachokikusanya na kukipata”. hayo yamesemwa leo na Meneja wa Benki Nmb wa Kanda ndugu Dismas Prosper wakati  akikabidhi vifaa hivyo kwa mgeni rasmi.

Wananchi waliojitekeza katika Viwanja vya Shule ya Sekondari ya Bishop Hhando.


Mbunge wa jimbo la Mbulu Mhe. Flatei Massay akichangia mada hata hivyo aliweza kutoa  msaada wa chakula wa wananfunzi wa Sekondari ya Bishop Hhando gunia 30 za mahindi  

 

Msaada huu tunaouto ni kwa ajili ya shule tano za  Sekondari ya Bishop Hhando, Tlawi, Maghanga, Gunyonda na shule ya Msingi Magong.

Aidha vifaa  tunavyotoa leo ni Meza 50 na Viti 50 vyenye thamani ya shilingi Milioni tano kwa shule ya Sekondari Bishop Hhando,Meza 50 na Viti 50 shule ya sekondari Maghang venye thamani ya shilingi Milioni tano, meza 50 na viti 50 kwa shule ya msingi Magong yenye thamani ya  shilingi Milioni tano, Meza 100 na Viti 100 kwa ajili ya Sekondariya Tlawi vyenye thamani ya shilingi Milioni Sita pia Stuli 100 za Sekondari Gunyoda vyenye thamani ya shs. Milioni tatu.

Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Sekondari Bishop Hhando wakiwa katika picha ya pamoja

Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki wakiwa katika picha wakati wa makabidhiano.


Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAHIMIZA WANAFUNZI WARIPOTI SHULENI

    January 31, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.