• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

Shangwe na Nderemo Zarindima Baada ya Wafanyabiashara Maarufu, Mzee Joshua na Gurti wa Dongobesh Kukabidhi Ghala la Mazao Kata ya Maretadu.

Kurushwa hewani: October 5th, 2021

Wafanyabiashara Maarufu, Mzee Joshua Giyee na Gabriel Gurti  wa Dongobesh Wakiwa Katika Ghala la Mazao la Maretadu Kwa Zoezi la Ufunguaji wa Ghala Hilo Kata ya Maretadu.
Muonekano wa Picha ya Mbele ya Ghala la Mazao Kata ya Maretadu.


Muonekano wa Picha ya Nyuma ya Ghala la Mazao Kata ya Maretadu.

Wafanyabiashara Maarufu, Mzee Joshua Giyee na Gabriel Gurti  wa Dongobesh.

Kutoka Kushoto ni Mh.Diwani  Z. Maega wa Kata ya Maretadu, Mh.Mbunge wa Mbulu Vijijini Flatei Massay, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Bw. Abubakar Abdallah Kuuli na wa Mwisho ni Mwenyekiti wa CCM Kata ya Maretadu.

Aliyeshika Biblia ni Padri James wa Parokia ya Bashay - Wilaya ya Mbulu Akisoma Neono wakati wa Ufunguzi wa Ghafla Hiyo.


Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Bw. Abubakar Abdallah Kuuli Akizungumza Katika Mkutano Huo.

Katika Hafla Hiyo Padri James, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Bw. Abubakar Abdallah Kuuli, Mh.Mbunge Flatei Massay na Wafanya Biashara Wawili  Dongobeshi Mzee Joshua Giyee na Mzee Gabriel Gurti Walivishwa Mavazi Rasmi ya Kimila Kama Ishara ya Ushujaa na Upendo wa Dhati kwa Wananchi wa Kata ya Maretadu.

Maombi na Sala Kutoka kwa Viongozi wa Dini Wakiongozwa na Padri James Katika Halfa Hiyo.



Mh.Mbunge Flatei Massay Akizungumza Katika Mkutano Huo.








~~~~~~~~~     HABARI KAMILI    ~~~~~~~~~







Katika hafla hiyo iliyojawa na furaha kubwa iliyohudhuriwa na viongozi wa dini kama vile Padri James wa Parokia ya Bashay, wazee maarufu, Mh.Mbunge wa Mbulu Vijijini Flatei Massay, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Bw. Abubakar Abdallah Kuuli na wengine wengi.


Furaha, shangwe, Hoihoi, nderemo na vifijo vilitawala katika viwanja vya ghala kuu la Kata ya Maretadu wakati na baada ya makabidhianao hayo. Ghala hili ni la Ushirika wa Kata ya Maretadu ambapo shuguli nyingi za kiuchumi na kijamii zilikuwa zikifanyika katika ghala hili ikiwemo uhifadhi wa mazao na pembejeo za wananchi kwa bei nafuu, kituo cha kununua na kuuza bidhaa mbalimbali za wananchi hayo ndiyo yalikuwa malengo ya msingi ya kuwepo kwa ghala hili.


Lakini mwaka 2008 ghala hili lilifungwa kutokana na kutii amri ya Mahakama kufanya hivyo ili kuhakikisha Kata ya Maretadu wanalipa gharama za kampuni ya Mzee Joshua Giyee na Gabriel Gurti wa Kata ya Dongobesh zilizotokana na kufanya kazi ya ukandarasi katika Sekondari ya Kata ya Maretadu wa kuleta malighafi za ujenzi yaani kokoto, mchanga na mawe kwa  kiasi kisichopungua Tsh.11 milioni.


Hata hivyo wazee hawa wawili na wananchi wa Kata ya Maretatdu kwa ushirikinao wa Mh.Mbunge wa Mbulu Vijijini Flatei Massay na ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri  ya Wilaya ya Mbulu walikaa na kuona na ni vema hili jambo likaisha kwa maridhiano ili wananchi waondoke na kikwazo cha kudidimia kwa maendeleo ya shuguli za uchumi ni kijamii kwa kata nzima ya Maretadu jambo lililofanikiwa kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu.

Katika hali isiyo ya kawaida viongozi wa dini waliomba sana ili kuepusha laana katika ardhi na wananchi wote na kushukuru kwa wazee hawa kutodai fidia ya gharama za uendeshaji wa kesi ya kiasi cha zaidi ya Tsh. 100 milioni jambo lililopongezwa sana na wananchi hawa.


Katika hafla hiyo Padri James, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Bw.Abubakar Abdallah Kuuli, Mh.Mbunge Flatei Massay na wazee hawa wawili wa Dongobeshi Joshua Giyee na Gabriel Gurti walivishwa mavazi rasmi ya kimila kama ishara ya ushujaa na upendo wa dhati kwa wananchi wa Kata ya Maretadu.


Kwa wakati tofauti Mh.Mbunge wa Mbulu Vijijini Flatei Massay ni kiongozi wa mfano mzuri wa kuigwa kwani anashirikiana vizuri kabisa na wananchi na ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu katika kutatua kero mbalimbali za Jimbo lake la Mbulu haya ni maneno ya ujumla kutoka kwa wananchi wa kata ya Maretadu na viunga vyake.


Kupitia halfa hii Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Bw.A.A.Kuuli amewaagiza Maafisa Watendaji wa Kata na Vijiji kuhakikisha kila mradi unapoanzishwa ushirikishe wananchi wa eneo husika kwani ndyo wadau wakuu wa mradi wao ndiyo wataamua kupitia serikali zao za vijiji, vikao vya kamati za maendeleo za kata na mikutano mikuu ya wananchi hii itapelekea kutokuwa na migogoro isiyokuwa ya lazima. Mkurugenzi huyo alisisitiza kwamba "wananchi msisite kutoa taarifa kwa jambo lolote ambalo mnaona haliendi vizuri kwa muda ule ule jambo linatokea ili ofisi yake iweze kuchukua hatua mapema kwan itasaidia kupunguza kero katika jamii".




Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAHIMIZA WANAFUNZI WARIPOTI SHULENI

    January 31, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.