• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • WAHESHIMIWA MADIWANI
    • MADIWANI VITI MAALUM
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

Silinde aridhishwa na usimamizi wa miradi-mbuludc

Kurushwa hewani: January 11th, 2021

Afisa Elimu Sekondari Mwalimu Furaha Simbeye akisoma taarifa ya ujenzi wa madarasa katika shule ya sekodari Alexander- Dongobesh

Akifanya ziara hii leo ya ukaguzi wa Miradi ya maendeleo katika halmashauri ya Wilaya yaMbulu, Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. David Silinde amesema anaridhishwa na usimamizi mzuri wa kazi za miradi ya  maendeleo inayosimamiwa vizuri na uongozi mzima wa halmashauri ya Wilaya ya Mbulu.

Mhe. Naibu Waziri akiongozana na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu(Mwenye sweta) katika ukaguzi wa madarasa ya Shule ya Sekondari Alexander

 Mhe. Naibu Waziri ameyasema hayo leo alipokuwa akikagua ujenzi wa Madarasa ya shule ya Sekondari Alexander pamoja na ujenzi wa Jengo la Utawala  katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu ikiwa ni  ziara yake ya kikazi ya kukagua Miradi ya Maendeleo.

Aidha akiongea Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu, ndugu Hudson Kamoga ametoa taarifa fupi juu ya ujenzi wa jengo la Utawala na kueleza hatua zilipo fikia na akifafanua nini sababu za kuchelewa kuhamia katika jengo hilo


.

Mkurugenzi Mtendaji akitoa taarifa fupi ya Ujenzi wa Jengo la Utawala

Pamoja na hayo ameiomba Serikali kutoa fedha zilizosalia kwa mkandarasi ili aweze kukamilisha jengo hilo na hatimaye kuhamia ili kurahisisha utendaji kazi kwa wakati.

Timu za Wataalam na Viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali wakiwa katika ziara ya naibu Waziri hii leo

Mhe. Joseph Guro (M/kiti wa Halmashauri) akiongea neno mbele ya Naibu Waziri hii leo katika ziara yake



Mhe. Flatei Mbunge wa Jimbo la Mbulu Vijijini  akisisitiza jambo mbele ya Naibu Waziri hii leo katika ziara yake mapema hii leo



Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI October 20, 2025
  • TANGAZO LA USAFI JUMAMOSI YA MWISHO YA MWEZI November 28, 2025
  • TANGAZO LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) KWA HIARI January 27, 2026
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • BARAZA LA MADIWANI LA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU LAPITISHA NA KUPONGEZA RASIMU YA MPANGO NA BAJETI YA MWAKA WA FEDHA 2026/2027

    February 10, 2026
  • USHIRIKIANO WA KITENGO CHA USTAWI WA JAMII NA TAASISI YA CHaRA WAWEZESHA WANAFUNZI WA KIKE DONGOBESH SEKONDARI KUPITIA ELIMU YA AFYA, KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA NA UGAWAJI WA TAULO ZA KIKE

    February 09, 2026
  • WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU WANUFAIKA NA MIKOPO YA ASILIMIA 10 MBULU DC

    January 19, 2026
  • WANANCHI WAASWA KUENDELEA KUCHUKUA TAHADHARI YA UGONJWA WA UKIMWI

    December 01, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

DC SEMINDU AAGIZA WATENDAJI KUHAKIKISHA WANASIMAMIA UTOAJI WA LISHE KILA KIJIJI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.