• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

TARURA YATENGA BILIONI 3.5 KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025.

Kurushwa hewani: March 7th, 2024

Na, Ruth Kyelula, Mbulu DC

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu, Joseph Mandoo, alisema kuwa Mpango wa mapendekezo ya bajeti ya matengenezo ya barabara TARURA lazima ulenge mahitaji ambayo yanawawezesha wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu kwa ujumla kuweza kupata mawasiliano.

Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Mbulu wakiwa kwenye kikao cha bajeti cha TARURA

Hayo yalisemwa na Mwenyekiti wa Halmashauri Joseph Mandoo, wakati akifungua kikao cha baraza la Madiwani cha mapendekezo ya bajeti ya matengenezo ya barabara kwa mwaka wa fedha 2024/2025 katika ukumbi wa halmashauri Machi 07, 2024.

Naye Mbunge wa Mbulu vijijjini Mheshimiwa Flatei Massay alisema kuwa anamshukuru Mhe. Raisi kwa kuwapatia fedha kwenye sekta ya maji kwenye wilaya ya Mbulu tumepata bilioni arobaini na nne (44) kwa mwaka wa fedha unaoendelea , na alisema bajeti kama hii haikuwahi kutokea kwa Mbulu vijijjini.

Mbunge Flatei Massay akichangia hoja kwenye Baraza

Kaimu Mkuuu wa Wilaya ya Mbulu, Geofrey Nyumainzu, kwa niaba ya ofisi ya Mkuu wa Wilaya amewapongeza ofisi ya TARURA wilaya ya Mbulu, kwa kazi kubwa na nzuri ambayo wanaendelea kuifanya.

“Wote ni mashahidi tumeona mvua ambavyo zimeharibu miundombinu ya barabara, lakini wamekuwa wakijitahidi ambavyo kuna uwezekano wa kuweza kufanya yale marekebisho ya   muda ili kuweza kupitika basi wameweza kufanya hivyo, kwa hiyo niwapongeze sana kwa kazi kubwa mnayoifanya”. Alisema Nyumainzu.

Baadhi ya wakuu wa Idara wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu walioshiriki kikao cha Baraza la bajeti cha TARURA

Lakini pia aliwashukuru waheshimiwa Madiwani kwa namna ambavyo wameendelea kutoa ushirikiano kwa ofisi zote za serikali kwa kuwa kila wanapoona kuna jambo linatakiwa lifanyiwe kazi wamekuwa wakisema na wao Wilaya kama watekelezaji wamekuwa wakichukua hatua na mambo yanaenda.

Kwa upande wa Meneja wakala wa barabara za vijijini na mijini (TARURA) Wilaya ya Mbulu, Mhandisi Nuru Hondo alisema kuwa kwa mwaka wa fedha 2024/25 wamependekeza kiasi cha shilingi 3,512,690,000.00 kwa ajili ya kazi za matengenezo, maendeleo, usimamizi wa kazi za barabara na utawala.


 Meneja wa TARURA Wilaya ya Mbulu, Mhandisi Nuru Hondo, akisoma taarifa ya bajeti yao ya fedha ya mwaka 2024/25

Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAHIMIZA WANAFUNZI WARIPOTI SHULENI

    January 31, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.