• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

UCRT YAKABIDHI HATI YA ARDHI KWA VIJIJI 6 MBULU

Kurushwa hewani: August 9th, 2024

Vijiji sita vya wilaya ya mbulu vyenye wakazi 14,205 vimeanza kunufaika na mradi wa hifadhi jumuishi unaotekelezwa na shirika binafsi la Kimataifa la Uhifadhi wa asili  IUCN baada ya kupima na kukabidhi vyeti vya hati miliki ya ardhi ya vijiji.

 Vijiji sita vya ukubwa wa eneo la hekta 28,000 vilivyonufaika na mradi huo huo ulioanza mwezi Machi mwaka huu wa 2024 ni Endamilay, Murkuchida, Yaeda Kati, Garbabi, Endalat, Dirim ambavyo sasa vimeepukana na migogoro ya ardhi kati ya vijiji na vijiji na kuwezeshwa kupanga ardhi zao kwa kuzingatia mpango wa matumizi bora ya ardhi.

Akikabidhi vyeti hivyo kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Mbulu VERONICA KESSY,  Katibu Tawala wa wilaya hiyo Paulo Burra ameshukuru shirika hilo la IUCN kufanikisha upimaji huo ambao amesema utapunguza migogoro kati ya vijiji na vijiji kugombea mipaka na pia kati ya wakulima na wafugaji.

Amesisitiza viongozi wa vijiji hivyo kuzingatia matumizi bora ya ardhi kwakuwa maeneo yameainishwa kuzingatia uhitaji wa kila kundi katika vijiji husika hasa maeneo ya malisho na mifugo pamoja na vyanzo vya maji.

Kwa mujibu wa afisa miradi wa shirika hilo la IUCN, Julius Mando, mradi huo unaotekelezwa kwa miaka minne kuanzia mwezi Machi mwaka huu wa 2024 hadi 2027 unagharimu shilingi milioni 700 za kitanzania ukijumuisha upimaji wa ardhi na utoaji wa elimu kwa viongozi wa serikali za vijiji na kuwezesha wanawake kujua haki na wajibu wao kupitia mabaraza yao.

Naye Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ndugu Nicolaus Ngonyani ameomba taasisi hiyo kufikiria uwezekano wa kuendelea kujumuisha vijiji vingine vya Halmashauri hiyo ili viweze kunufaika na mradi huo.



Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAHIMIZA WANAFUNZI WARIPOTI SHULENI

    January 31, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.