• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

UKUNGU KUZALISHA MAJI SAFI NA SALAMA MBULU

Kurushwa hewani: August 23rd, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Komredi Kheri James ameongoza msafara wa kukagua mradi wa kuvuna ukungu na maji uliopo mkoani Manyara Wilaya ya Mbulu.

Ziara hiyo ilifanyika Leo Agost 23,2023 ikiongozwa na mkuu wa Wilaya akiambatana na wakurugenzi, wataalamu wa mradi pamoja na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu na Mbulu mji.

Mkuu wa Wilaya Kheri alisema kuwa Wilaya ya Mbulu ni miongoni mwa Wilaya ambayo inanufaika na mradi wa uvunaji wa maji kupitia ukungu.


"Kama ilivyotaratibu zetu viongozi inabidi kujengewa uwezo ni namna gani mradi huu utafanyika na mazingira ya mradi yatakuwaje, kwa busara ya kawaida Leo viongozi wote na watumishi kwa uwakilishi tumeona tufike hapa Babati ambapo mradi huu unafanya kazi vizuri, kwa tija kubwa sana na unasaidia

 upatikanaji wa maji safi kwa ajili ya wanafinzi wa shule ya sekondari Qameyu,matumizi ya laboratory na matumizi mengine ambayo shule itahitaji." Alisema Mkuu wa Wilaya.

Mheshiwa Mkuu wa Wilaya aliendelea kusema kuwa jitihada kubwa zinafanywa na serikali katika kuhakikisha maji safi na Salama yanapatikana, jitihada hizi zinafanywa na serikali pamoja na wadau, na wadau wanaongeza nguvu kwa sababu kubwa moja, hakuna namna tutaleta maendeleo ya watu wetu bila maji safi na Salama.

"Mradi sasa unapokwenda kuanza tumeshajifunza baadhi ya mambo ya kuanza nayo wakati wa kuanza, lakini mambo ya kufanya wakati wa mradi unaendelea, na mambo ya kufanya ili kuulinda mradi ili kuleta tija inayokusudiwa." Alisema  Kheri James

Kwa upande wa Professor Karoli Njau wa Chuo Kikuu Cha Nelson Mandela ambae ni Mshauri mwelekezi wa mradi alisema kuwa wanatumia neti kudaka maji yaliyo kwenye ukungu.Ambapo alizungumza kuwa ukungu una majimaji na unaposhuka chini sana unaweza kutumia teknolojia hiyo iliyowekwa ambayo tunaiona.


"Hii ni teknolojia mpya sana kwa ajili ya kupata maji.Na hii teknolojia ya hizi neti inadaka ule ukungu na ule ukungu unaelekezwa mpaka unafika sehemu za chini ambazo zinakusanya na yale maji yanakusanywa pamoja yanaingizwa kwenye matenki." Alisema Prof. Njau.

Manager wa mradi wa Catching Clouds Dennis Wolter kutoka Ujerumani alisema anashukuru kwa mapokezi makubwa ambayo hakuyategemea, alisema wanakazi kubwa ambayo ipo mbele yao lakini wamejidhatiti na wana shauku kubwa kuifanya.

 

" Tuna uelewa kwamba tutakutana na changamoto lakini tunavyoona viongozi mnajitoa ni alama kubwa kwamba tunaweza kufanya kazi hii pamoja na tutahakikisha kwa ubora wetu kwamba mradi huu utakuwa wenye tija kubwa kwa jamii.

Kwa upande wa Mkurugenzi mtendaji wa Wilaya ya Mbulu Ndugu, Abubakar Kuuli alihitimisha kwa kutoa shukrani kwa Mkuu wa Wilaya kwa niaba ya watumishi  pamoja na wananchi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu, na kueleza kuwa miradi  hiyo ni mizuri sana, ule wa kuvuna ukungu na wa kuvuna maji ya mvua. Amewakaribisha wawekezaji na ameahidi kutoa ushirikiano mzuri pale utakapohitajika.


Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAHIMIZA WANAFUNZI WARIPOTI SHULENI

    January 31, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.