• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu wanategemea kunufaika na huduma za Afya mara baada ya Ujenzi wa jengo la Hospitali kukamilika.

Kurushwa hewani: February 27th, 2019

Uchimbaji wa msingi wa jengo la utawala ukiwa umekamilika 

Halmshauri ya Wilaya ya Mbulu imeanza kutekeleza shughuli za Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya itakayogharimu kiasi cha Shilingi Bilioni 1.5 unaoendelea katika mji mdogo wa Dongobesh tangu mwezi januari kwa hatua za awali kama vile uchimbaji wa msingi kwa majengo yote saba ya Utawala,Wagonjwa wa nje,Maabara,Wodi ya Wazazi,Stoo ya Madawa, na Mionzi yatakayopatikana katika Hospitali hiyo,huku ujenzi huo ukitarajiwa kukamilika Juni Mwaka 2019.

upokeaji wa simenti kwa ajili ya ujenzi ukiendelea  toka kampuni ya Dangote na kuhifadhiwa kwenye banda maalum lakuhifadhi  vifaa

Wakizungumza kwa nyakati tofauti Wananchi wa Kata za Dongobesh, Dinamu,Bashay,Tumati na maeneo mbalimbali ndani ya Wilaya ya Mbulu wameishukuru Serikali ya Awamu ya tano chini ya Rais Dokta John Pombe Magufuli kwa kuendelea kuimarisha Sekta ya Afya na kwa kuendelea kuimarisha miradi mbalimbali ya maendeleo katika makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu. Hivyo Ujenzi wa Hospitali hiyo utakuwa Mkombozi wa Afya zao kwani huduma itasogezwa karibu.

ujenzi wa choo na bafu cha muda kitachotumika kikiwa kimekamilika tayari kwa matumizi


Wanananchi hao wameendelea kuishukuru Serikali kwa kukubali kuleta Fedha hizo kwa ajili ya ujenzi wa  Hospitali hiyo ambapo itawapunguzia gharama ya upatikanaji wa baadhi ya huduma walizokuwa wakizikosa kwa vituo vya afya na zahanati zilizopo katika kata zao,ambapo mara nyingi Wananchi hao wamekuwa wakilazimika kufuata huduma hizo Katika kituo cha Afya Dongobesh, na hata mara  nyingine kulazimika kupata matibabu katika hospitali ya rufaa Haydom  na kushindwa kwenda huko kufuatia umbali uliopo na hivyo hali hiyo imekuwa ikiwaathiri na wakati mwingine kupelekea Vifo.

moja ya mashine zitakazotumika kufyatua matofali zikiwa eneo la ujenzi


Wakiongea kwa nyakati tofauti Mkuu wa Wilaya ya Mbulu ndugu Christino Mufoga,Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu ndugu Joseph G. Mandoo na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu ndugu Hudson Kamoga,wamewashukuru Wananchi kwa kuhamasika na Kujitokeza kwa wingi katika hatua ya Awali ya Ujenzi huo, na huku wakiwaomba Wananchi kuendelea kujitolea kwa jinsi watakavyoweza na kuwa na dhamira ya dhati ya kusimamia mradi  huo ili ujengwe kwa ubora kulingana na fedha zilizotolewa na Serikali na kukamilika kwa wakati ambapo unatekelezwa kwa nguvu za Wananchi yaani “Force Account”

Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAHIMIZA WANAFUNZI WARIPOTI SHULENI

    January 31, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.