• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

WATAALAMU WATAKIWA KUKAMILISHA MIRADI KWA WAKATI ILI IWEZE KUHUDUMIA WANANCHI.

Kurushwa hewani: April 12th, 2024

Na, Ruth Kyelula, Mbulu – DC

Mkuu wa Wilaya ya Mbulu, Veronica Kessy amewataka wataalamu na menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu kukamilisha mapema mradi wa hospitali ya Wilaya ili uweze kuwahudumia wananchi wa wilaya hiyo.

Mkuu wa Wilaya Veronica Kessy akiwa na wataalamu katika hospitali ya Wilaya, wakati wa ziara yake katika hospitali hiyo iliyopo Dongobesh.

Hayo yalisemwa na Mkuu wa Wilaya ya Mbulu wakati wa ziara yake ya kikazi katika kata ya Dongobesh ambapo ilipo makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu na kuanza kukagua ujenzi wa hospitali ya Wilaya, kuongea na kusikiliza kero za wananchi katika viwanja vya Dongobesh na kuzungumza na watendaji kata, vijiji na wakuu wa idara wa Halmashauri April 09,2024, Dongobesh wilayani Mbulu.

“Hapa tulipofikia tukimbize, yale majengo yakamilike ili huduma ifunguliwe rasmi kwa wananchi, nahitaji ile hospitali ifanye kazi. Kwahiyo injinia asimamie yale maelekezo yote tuliyotoa na yale maelekezo yaliyotolewa na kamati ya Bunge ya LAAC yafanyiwe kazi na kila mtu afanye jukumu lake.” Alisema Mkuu wa Wilaya Veronica.

Wananchi wa kata ya Dongobesh wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya Veronica Kessy wakati wa ziara yake katika kata hiyo.

Aidha amewataka watendaji wa kata na vijiji wasimame kwenye nafasi zao na kushughulikia migogoro yote, na inayowashinda wapeleke ngazi ya kata,na wakishindwa wapeleke ngazi ya Wilaya, msikae na migogoro.

Naye katibu Tawala wa Wilaya ya Mbulu, Paulo Bura alisema kuwa, anamshukuru mkurugenzi na timu yake kwa maandalizi mazuri ya ziara zote mbili za tarafa ya Haydom na Dongobesh, na amewaomba wataalamu kufuata maelekezo yote ya Mkuu wa Wilaya aliyoyatoa ili miradi iweze kukamilika na wananchi wapate huduma iliyokusudiwa.

Kwa upande wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Abubakar Kuuli, amesema kuwa amepokea maelekezo yote aliyoyatoa Mkuu wa Wilaya na kuahidi atayafanyia kazi.Na amemshukuru kwa ziara yake katika kata ya Dongobesh.

 

 

Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAHIMIZA WANAFUNZI WARIPOTI SHULENI

    January 31, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.