• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

Waziri Jafo atoa maagizo mazito kwa Viongozi wa Mikoa na Halmashauri.

Kurushwa hewani: March 16th, 2018


Na Mwandishi wetu;Phars


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mh. Selemani Jafo akisisitiza umuhimu wa Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini kutimiza wajibu wao kwa kuisemea Serikali katika maeneo yao kwa kuzingatia weledi na kujituma wakati akifunga Kikao Kazi cha Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini jijini Arusha.


Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bi. Susan Mlawi akitoa hotuba ya kumkaribisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mh. Selemani Jafo kufunga Kikao Kazi cha Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini mapema leo jijini Arusha.


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Selemani Jafo ametoa agizo kwa Ofisi za Mikoa na Halmashauri zote nchini kutenga fedha kwa ajili ya ununuzi wa vifaa kwa vitengo vya Mawasiliano ili viweze kutekeleza majukumu yake.

Mhe. Jafo ametoa agizo hilo Jijini Arusha alipokuwa akifunga Kikao Kazi cha 14 cha Maafisa Mawasiliano Serikalini uliohudhuriwa na Maafisa Mawasiliano 300 kutoka katika Taasisi, Idara na Wakala wa Serikali, Mikoa, Majiji, Miji na Halmashauri zote nchini.

“Kuanzia mwaka ujao wa bajeti Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakurugenzi wa Halmashauri, Majiji, Manispaa na Miji waweke kipaumbele kwa kutenga fedha za kununua vifaa muhimu kwa ajili ya Maafisa Habari na Mawasiliano ili waweze kutekeleza majukumu yao ipasavyo,” alisema Mhe. Jafo.

Aidha amemtaka Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Mbulu ndugu Hudson S.Kamoga kuwa mfano wa kuigwa kupitia tovuti yake ya halmashauri kwa kuhakikisha taarifa zinatolewa na kupandishwa ipasavyo kwao na ataumia mfano kwa kuanza kuikagua tovuti hiyo kuona kama maagizo aliyoyatoa yametekelezwa.




Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mh. Selemani Jafo akiwa kwenye picha ya pamoja na Maafisa Habari na Mawasiliano,uhusiano na itifaki Serikalini mara baada ya kufunga Kikao Kazi hicho mapema leo Jijini Arusha.


Vile vile ameagiza Maafisa Habari wapewe ushirikiano wa kutosha na Wakuu wa Idara kwa kuwapa taarifa na takwimu za idara zao ili kuwawezesha Maafisa hao kutoa taarifa muhimu za Serikali kwa vyombo vya habari na wananchi kwa wakati na bila vikwazo.

Aidha, amewataka Viongozi wa Mamlaka ya Serikali za Mitaa kutambuua kuwa Afisa Habari ndiye Mtendaji Mkuu katika masuala ya uandaaji wa habari, hivyo ni muhimu Maafisa hao kuingia katika vikao mbalimbali ili wapate uelewa wa masuala mbalimbali ya kimaamuzi yanayofanywa na uongozi.

Kwa upande wake, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Susan Mlawi amesema mada mbalimbali zimetolewa kwa lengo la kuwajengea uwezo Maafisa hao, ambapo miongoni mwa mada hizo ni pamoja na umuhimu wa Mawasiliano ya kimkakati katika kuisemea Serikali na tathmini ya utendaji katika mwaka 2017, maadili ya usalama katika kazi ya kuitangaza na kuisemea Serikali pamoja na wajibu wa Maafisa Habari katika mkakati wa kitaifa wa kupambana na maafa.


Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh. Mrisho Gambo akiwaasa Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini, hawapo pichani, kutekeleza majukumu yao kwa weledi jijini Arusha.


Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akiagana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mh. Selemani Jafo mara baada ya kufunga Kikao Kazi cha Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini mapema leo jijini Arusha.

 


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mh. Selemani Jafo akisisitiza jambo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Hudson Kamoga.


 


Mwenyekiti Mstaafu wa TAGCO Bw. Innocent Mungy akipokea cheti kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mh. Selemani Jafo ikiwa ni ishara ya kutambua mchango wake.


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mh. Selemani Jafo akiondoka katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano (AICC) mara baada ya kufunga Kikao Kazi cha Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini mapema leo Jijini Arusha. 


Nae, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo amesema ofisi yake itashirikiana na Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo kuhakikisha maazimio yote yaliyoafikiwa katika mkutano huo yanatekelezwa katika vitengo vyote vya Mawasiliano vya Halmashauri zote za Mkoa wa Arusha.

Mkutano wa Maafisa Mawasiliano Serikalini unafanyika kila mwaka, ambapo kwa mwaka huu unafanyika kwa mara ya 14. Mkutano huo umeandaliwa na Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo kwa kushirikiana na Chama cha Maafisa Mawasiliano

Share this: 

Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAHIMIZA WANAFUNZI WARIPOTI SHULENI

    January 31, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.