• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

Zoezi la Usajili na utoaji wa Vyeti kwa Watoto Chini ya Umri wa Miaka 5 Kuanzia Tarehe 11-22.05.2021 Waendelea Vizuri Wilayani Mbulu

Kurushwa hewani: May 19th, 2021

Picha Inayoonekana ni Wazazi Wakiwa na Watoto Wao Katika Ofisi ya Kata ya Haydom Wakiwa Katika Hatua za Usajiri Ili Waweze Kupata Cheti Kwa Watoto Wao Mbele ya Wataalamu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Waliopewa Mafunzo Elekezi ya Namna ya Usajili na Kutoa Cheti Kupitia Ujazaji wa Fomu Maalumu na Kisha Kuzipakia Kwene Mfumo wa Kielektroniki wa Usajili.

Kikosi Kazi cha Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Kinachosimamia Zoezi Zima la Usajili na Utoaji Vyeti Ambapo Hapo Kuna Makundi Matatu Kundi la Kwanza ni la Wasimamizi wa Taasisi ya "RITA" Ngazi ya Kitaifa, la Pili ni Maafisa Kutoka Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mbulu na Tatu ni Wataalamu Kutoka Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu.

Picha ya Hapo Juu ni Watumishi Mbalimbali Wakiwa Katika Zoezi la Kupakia Taarifa za Usajili Kwa Kutumia Mfumo wa Kielektroniki Uliopo Kwenye Simu.

Katika Kila Kazi Kuna Changamoto Mbalimbali Ambazo Kikosi Kazi Hiki Kinakumbana Nazo Mojawapo ni Kuharibika kwa Usafiri Unaotumika Katika Kazi Hii AMbapo Imebidi Wao Wenyewe Kurekebisha Athali Hizo Ili Waweze Kuendelea na Zoezi Bila Kuathili Kazi ni Uzalendo wa Kutosha Katika Hili.







~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~`   TAARIFA KAMILI   ~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~




Ili kuhakikisha haki ya mtoto inatunzwa na kumuandaa mtoto katika baisha bora na ya mafanikio katika elimu na biashara na mengineyo ya kijamii kwa ujumla wake serikali imetekeleza kwa vitendo na sasa ndicho halisia katika zoezi la  uandikishaji.

vituo vinavoendelea na zoezi hili ni 44 kwa wilaya nzima ambapo kwa ngazi ya Kata ni 18 kwa majina ni kama ifuatavyo:-
Bashai, Endamilay, Dongobesh, Dinamu, Endahagchan, Tumati, Yaedachini, Masqaroda, Maghan, Maretadu, Haydarel, Geterer, Haydom, Eshkesh, Masieda, Gidhim na Labay.

Katika sehemu za kutolea huduma za afya Hospitali, Vituo vya Afya na Zahanati ni kama ifuatavyo:-
Yaedaampa, Maghan, Masqaroda, Arri, Muslur, Yaeda chini, Tumati, Masieda, Endamilay, Bashai, Diyomati, Dirim, Dongobeshi kituo cha Afya, Endahalghadat, Ngorot, Gidmadoy, Labay, Harbangheti, St.Alois Hospitali, Hospitali ya Haydom, Huruma, Maretadu Juu, Haydarer, Endamasak, Maretadu Chini, Mewadani na Endoji.

Katika zoezi hili changamoto ni za kawaida ikiwemo kuisha kwa vitabu vya kuandikishia ambapo wahusika wa kituo husika wakitoa taarifa hufikishiwa mara moja ili  kuokoa muda kutoka wasimamizi ngazi ya Taifa na Wilaya.

Hata hivyo changamoto ya barabara imekua kubwa kidogo kwa baadhi ya maeneo ambapo kinachofanyika wataalamu hufika kwa muda ambao sio mwafaka kutokana na miundombinu hafifu ya barabara hii imepelekea kufanya ufukuaji na matengenezo ya mara kwa maramara tuwapo kwenye mzunguko wa usimamiaji wa kazi hii.

Wataalamu wetu wamejitoa kwa weledi wote na nguvu zote kuhakikisha kila kitu kinakwenda vizuri na kufikia malengo yaliyopangwa.



Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAHIMIZA WANAFUNZI WARIPOTI SHULENI

    January 31, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.