Kiswahili
  • English
  • Kiswahili
    • Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

Picha Jongefu

  • Kamoga azindua KURUGENZI CUP'18 - Haydom

    May 14th, 2018

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu azindua mashindano ya KURUGENZI CUP'18 katika mji wa Haydom yanayokutanisha timu mbalimbali, uzinduzi huu umefanyika ikiwa ni wiki ya Ujasiliamali,Uwajibikaji na Uzalendo kuelekea Tanzania ya Viwanda.

    akiongea na mamia na wananchi waliojitokeza amewataka kuwa wazalendo kwa kupigania nchi yao nakuonesha mshikamano katika kujiletea maendeleo yao.

    aidha amewakumbusha kuitumia mbulu kwa fursa zake zilzipo ili kuisaidia mbulu kusonga mbele.

  • TUCHAPE KAZI TUACHE KULALAMIKA

    April 30th, 2018

    Mkurugenzi Mtendaji ametoa ushauri kwa watu wote kupunguza lawama kila unapofanya jambo/kazi na hata kudumaza uwezo wa kufikiri https://www.youtube.com/watch?v=7-LkFKuX9RA&feature=youtu.be

  • DIWANI KATA YA HAYDERER AVUA GWANDA NA KUJIUNGA CCM- MBULU

    February 13th, 2018

    Aliyekuwa Diwani wa kata ya Hayderer Wilaya ya Mbulu,Mh. Justine S. Masuja kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameamua kujivua Madaraka yake ya Udiwani na kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM) ili kuendana na Sera za awamu ya tano .

    Ametoa maamuzi hayo mbele ya wananchi Wilayani Mbulu hivi karibuni , mara baada ya kukaa na kutathimini mustakabali wa kisiasa nchini  akiongea dhumuni kubwa la kujiudhuru nikutokana na kufanya maamuzi yake  kwa hiari  pasipo kushirikishwa na mtu au kushawishiwa na mtu yoyote.

     Akiongea zaidi ameahamua kuunga mkono harakati zinazofanywa na Mhe. Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli za kupambana na mafisadi, rushwa na kuwaletea wananchi maendeleo Tanzania.

    Aidha kuhamua kujiunga na chama cha Mapinduzi kutokana na kushindwa kutekeleza  ilani ya chama cha Mapinduzi huku akiwa upinzani.

    “Nimeamua kuwatumikia wananchi wangu wa Hayderer kwa dhati ili kuwaletea maendeleo nikiwa natekeleza Sera za Awamu ya Tano kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM). Alisema Masuja’.

  • ← Prev
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • Next →

Matangazo

  • RATIBA ZA MECHI ZA LEO 15/05/2018 KURUGENZI CUP'18-HAYDOM May 14, 2018
  • MECHI ZA KESHO KURUGENZI CUP'18 - HAYDOM May 15, 2018
  • TANGAZO LA ZABUNI KUWAPATA MAWAKALA WA UKUSANYAJI WA USHURU KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI 2018 HADI JUNI 2019. June 04, 2018
  • TANGAZO TANGAZO LA UKATAJI WA LESENI MPYA KWA VIJIJI VYOTE WILAYA YA MBULU. June 19, 2018
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • KAMATI YA LISHE YAKAA KIKAO CHA ROBO YA PILI.

    January 29, 2024
  • TUNAKUTAKIA HERI YA SIKU YA KUZALIWA DKT. SAMIA SULUHU

    January 27, 2024
  • MATOKEO YA MTIHANI KIDATO CHA NNE 2023

    January 25, 2024
  • MBUNGE FLATEI AZINDUA MRADI WA JOSHO GARKAWE.

    January 05, 2024
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

link tunazolandana

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.