Ofisi ya Rais - TAMISEMI kwa kushirikiana na Taasisi ya Benjamin William Mkapa inapenda kuwatangazia wahitimu wa kada za afya nchini kuwasilisha maombi ya nafasi za kazi, kuanzia tarehe 20/01/2020 hadi tarehe 07/02/2020 ili kujaza nafasi mbalimbali za Kada ya Afya katika Hospitali za Wilaya, Vituo vya Afya na Zahanati.
Kuona Tangazo bofya hapa TANGAZO LA KAZI KADA ZA AFYA BMF (1).pd
Mbulu district Coucil
Anuani: P.O.BOX 74
Simu ya mezani: +255743583078
Simu: +255716992222
Barua pepe: md@mbuludc.go.tz
Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.