Kurushwa hewani: January 30th, 2025
Na, Ruth Kyelula, Mbulu DC
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu, Joseph Mandoo, alisema kuwa lengo la kutembelea Kituo cha Afya Dongobesh ni kupeleka huduma kwa mama wajawazito na wale wali...
Kurushwa hewani: February 13th, 2025
Na Ruth Kyelula, Mbulu DC.
Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu, imekabidhi jumla ya pikipiki 16 za mikopo ya asilimia 10 kwa vikundi vitatu vya vijana, zenye thamani ya jumla ya shilingi milioni 45,935,...
Kurushwa hewani: February 13th, 2025
Na Magreth Mbawala,Mbulu DC
Baraza la madiwani la Halmashauri ya wilaya ya Mbulu limepitisha kiasi cha shilingi bilioni 38,747,893,000 kama bajeti kwa kipindi cha mwaka 2025/2026.kwa ajili ya mirad...