TANGAZO TANGAZO LA UKATAJI WA LESENI MPYA KWA VIJIJI VYOTE WILAYA YA MBULU.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu anapenda kuwatangazia wafanyabiashara wa Wilaya ya Mbulu kutakuwa na zoezi la ukataji wa leseni kwa Vijiji vyote kupitia kata moja hadi nyingine.
Zoezi hili litahusisha wafanyabiashara wote ambao leseni zao zinaisha kwa mwaka huu yaani mwezi juni na kwa wale ambao wanafanyabiashara pasipokuwa na leseni halili ya kazi husika.
Ratiba kamili ya kuendesha zoezi la ukaguzi na utoaji leseni mpya na zamani ni kama ifuatavyo:
NO |
TAREHE HUSIKA |
KATA HUSIKA |
1.
|
22/06/2018
|
MASQARODA NA BASHAY
|
2.
|
23/06/2018
|
YAEDA AMPA NA TUMATI
|
3.
|
24/06/2018
|
DONGOBESH NA GIDHIMU
|
4.
|
25/06/2018
|
MARETADU NA HAYDERER
|
5.
|
26/06/2018
|
GETERER NA HAYDOM
|
6.
|
27/06/2018
|
MAGHANG NA LABAY
|
7.
|
28/06/2018
|
DINAMU NA ENDAMILAY
|
8.
|
29/06/2018
|
MASIEDA,ENDAGICHAN,YAEDA CHINI NA ESHKESH
|
UPATAPO TANGAZO HILI MJULISHE NA MWENZAKO
IMETOLEWA NA AFISA BIASHARA
Mbulu district Coucil
Anuani: P.O.BOX 74
Simu ya mezani: +255743583078
Simu: +255716992222
Barua pepe: md@mbuludc.go.tz
Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.