Hii ni huduma inayomuwezesha mwombaji wa kitambulisho cha Taifa (Raia au Mgeni mkazi) kujaza fomu ya maombi ya Kitambulisho cha Taifa kwa njia ya Kielektroniki akiwa mahali popote. Baada ya kujaza fomu hiyo, mwombaji atatakiwa kuichapisha (Print) na kuiwasilisha pamoja na vielelezo vingine katika Ofisi ya NIDA (wilaya) iliyo karibu naye kwa ajili ya kukamilisha usajili wa alama za biometria. BOFYA HAPA >> https://eonline.nida.go.tz/
Mbulu district Coucil
Anuani: P.O.BOX 74
Simu ya mezani: +255743583078
Simu: +255716992222
Barua pepe: md@mbuludc.go.tz
Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.