Kiswahili
  • English
  • Kiswahili
    • Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

Mh. Mkuu wa Wilaya ya Mbulu, Sezaria V. Makota (aliyevaa nguo ya kijani) Amekagua Mradi wa Ujenzi wa Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Leo Tarehe 01.11.2021

Kurushwa hewani: November 1st, 2021

Kutoka Kushoto ni Mh. Mkuu wa Wilaya ya Mbulu, Sezaria V. Makota Akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Bw. A.A.Kuuli Katika Eneo la Mradi Kata ya Dongobesh.


Kutoka Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Sheria Bw. G. Mwambage, Afisa Ugavi Mwandamizi Bw. E. Matokeni, Mh. Mkuu wa Wilaya ya Mbulu, Sezaria V. Makota, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Bw. A. A. Kuuli na Mwisho ni Mhandisi Juma wa Kampuni ya Mzinga Iliyopewa Kazi ya Ujenzi Huu.






~~~~~~~~~~~     HABARI KWA UFUPI       ~~~~~~~~~~~     



Mh. Mkuu wa Wilaya ya Mbulu, Sezaria V. Makota amekagua mradi wa ujenzi wa ofisi ya Mkurugenzi  Mtendaji kwa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu ambalo jengo hilo lipo makao makuu ya Halmashauri Kata ya Dongobesh Mbulu Vijijini. Ujenzi  huu ulianza mwaka 2019 na unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi Novemba mwaka huu 2021. 

Mh. S. Makota yuko katika utaratibu wake wa kawaida wa kukagua na kushauri katika miradi mbalimbali ya maendeleo katika Halmashauri hii lakini kwa sasa watumishi wa Halmashauri ya Mbulu wapo Dongobesh  katika majengo ya Ofisi ya Kata  ya Dongobesh lakini mifumo bado iko Mbulu Mjini. 

Katika ukaguzi huo Mh. Mkuu wa Wilaya huyo amesisitiza sana kuongeza kasi ya ukamilishaji ili watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Vijijini nao wapate mazingira mazuri na yenye nafasi ya kutosha ya kufanyia kazi na mifumo yake hapa.

Katika ukaguzi huo Mh. Mkuu wa Wilaya aliongozana na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Bw. A. A. Kuuli ambaye naye pia alikuwa na  Mwanasheria wa Halmashauri Bw. G. Mwambage, Afisa Ugavi Mwandamizi Bw. E. Matoke na Michael Mwalyambi Afisa Tehama.



Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAHIMIZA WANAFUNZI WARIPOTI SHULENI

    January 31, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.