Wa katikati (shati la kijivu) ni Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Manyara, M. Nyerere na Kulia ni Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Mbulu, Sezalia V. Makota na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Ndg. A. A. Kuuli Katika Ziara Hiyo.
Wa katikati (shati la kijivu) ni Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Manyara, M. Nyerere Akipokelewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Ndg. A. A. Kuuli, Kulia ni Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Mbulu, Sezalia V. Makota Katika Ziara Hiyo.
Vyumba 2 vya Madarasa
Wa katikati (shati la kijivu) ni Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Manyara, M. Nyerere na Kulia ni Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Mbulu, Sezalia V. Makota WakipataUfafanuzi Toka kwaMkuu a Shule ya Sekondari Mamakari.
Vyumba 3 vya Madarasa
Wa Kwanza Kulia (shati la kijivu) ni Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Manyara, wa Kwanza Kutoka Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Ndg. A. A. Kuuli na Katikati (Sketi nyeusi) ni Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Mbulu, Sezalia V. Makota Wakipata Ufafanuzi Toka kwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Dr.Olsen.
Vyumba 3 vya Madarasa
Wa Kwanza Kushoto (shati la kijivu) ni Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Manyara, wa Kwanza Kutoka Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Ndg. A. A. Kuuli na Katikati (Brauzi ya kijivu) ni Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Mbulu, Sezalia V. Makota Wakiwa Shule ya Sekondari Endoji.
Vyumba 2 vya Madarasa Shule ya Sekondari Alexander Saulo
~~~~~~ HABARI KWA UFUPI ~~~~~~
Katika ukaguzi huo aliongozana na mwenyeji wake Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Mbulu, Sezaria V. Makota ambaye naye aliongozana na Kamati ya Ulinzi na usalama ya Wilaya ya Mbulu na wataalamu wa Halmashauri ya Halmashauri ya Mbulu.
Katika ukaguzi huu Mhe. Mkuu wa Mkoa alianza ukaguzi Shule ya Sekondari Mamakari ambayo ndiyo wako hatua ya upauzi kwa sasa, kisha shule ya sekondari Dr.Olsen, shule ya sekondari ya Endoji na mwisho shule ya sekondari ya Alexander Saulo.
Mhe. Mkuu wa Mkoa, M. Nyerere amemshukuru sana Mhe. Rais Samia S. Hassan kwa kuleta fedha hizi katika mradi hii kwani wananchi wanafarijika sana kwa kuona watoto wa jamii yao wanapata elimu bila kikwazo.
Mbulu district Coucil
Anuani: P.O.BOX 74
Simu ya mezani: +255743583078
Simu: +255716992222
Barua pepe: md@mbuludc.go.tz
Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.