Kwa pamoja Mwenyekiti wa Halmashauri huyo na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Ndg. Abubakar A. Kuuli wamemshukuru sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuendelea kutoa fedha na vitendea kazi mbalimbali kwa ajili ya wananchi wa Mbulu.
Katika kupata vitendea kazi hivi Maafisa ugani hawa wameaswa kuongeza kasi ya kuwahudumia wananchi katika maeneo mbalimbali ya vijijini ili kuweza kuongeza ufanisi wa upatikanaji wa mazao bora na kwa wingi na kupunguza hasara kwa wakulima.
Mbulu district Coucil
Anuani: P.O.BOX 74
Simu ya mezani: +255743583078
Simu: +255716992222
Barua pepe: md@mbuludc.go.tz
Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.