AFISA KILIMO WA WILAYA BW. MANAELI AKIWA KATIKA SOKO LA MBOGAMBOGA DONGOBESH AKIFUATILIA KWA KARIBU UTEKELEZAJI WA MRADI HUO.
Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu ikiwa inaendelea na utekelezaji wa Miradi mbalimbali zinazotokana na vyanzo mbalimbali vya Mapato, moja ya Mradi unaotekelezwa kwa hivi sasa ni ujenzi wa Soko la mbogamboga na Matunda katika mji wa Dongobesh.
HATUA ZA USIMIKAJI WA NGUZO KWA AJILI YA KUPIGA PAA UKIENDELEAKATIKA SOKO LA MBOGA MBOGA NA MATUNDA
Mradi huu unaogharimu kiasi cha milioni ishirini (Tsh.20,000,000) kutokana na fedha za Mapato ya ndani.
WAKINA MAMA WAJASILIA MALI WAKIPITA KATIKA ENEO LA SOKO
Soko hili la mbogamboga linatarajiwa kukamilika kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2021/2022 na kuweza kuhudumia Wajasiliamali wapato 50 ambao wataweza kupata meza kwa ajili ya kutoa huduma kwa wananchi ndani ya mji huo.
WAKINA MAMA WAJASILIA MALI WAKIENDELEA NA BIASHARA NJE SOKO RASIMI LA MBOGA
Mbulu district Coucil
Anuani: P.O.BOX 74
Simu ya mezani: +255743583078
Simu: +255716992222
Barua pepe: md@mbuludc.go.tz
Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.