katika kuendelea kusimamia na kutekeleza ilani ya chama cha Mapinduzi mbulu yaendelea kusimamia na kutekeleza
Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu waliandaa wameandaa bonanza la michezo lilikutanisha wakuu wa idara na madiwani. katika bonanza hilo likijumuisha michezo mbalimbali kama vile mpira wa miguu,kuvuta kamba na kukukimbiza kuku
Mkurugenzi Mtendaji anapenda kuwashukuru sana watumishi wote wa halmashauri ya Wilaya ya Mbulu ,Kamati ya Ulinzi na Usalama,Wananchi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu na Wadau wote kwa ushirikiano mkubwa mlioonesha wakati wa mbio za Mwenge mwaka 2018, kwa watendaji wote kujituma kwenu na kufanya kazi kwa uzalendo, weledi na uwajibikaji kila mmoja kwa nafasi yake.
Tumekuwa wa kwanza Kikanda,ikijumuisha Mikoa Sita kwa mwaka huu, hongereni sana. Hii iwe chachu ya kuendelea kuwajibika kwa kufanya kazi kwa bidii,uzalendo na uadilifu wa hali ya juu katika kuwaletea maendelo wananchi wetu. Ahsante tuendelee kushikamana katika majukumu yetu.
Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.