• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Bw. Hudson S. Kamoga Akagua Mafunzo ya Usajili na Kutoa Vyeti vya Kuzaliwa kwa Watoto Chini ya Umri wa Miaka 5 Wilayani Mbulu Leo Tarehe 08.05.2021

Kurushwa hewani: May 8th, 2021

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Bw. Hudson S. Kamoga Akizungumza na Watumishi Katika Mafunzo ya Usajili na Kutoa Vyeti vya Kuzaliwa kwa Watoto  Chini ya Umri wa Miaka 5 Kwenye Ukumbi wa Wananwake Mbulu Mjini Leo Tarehe 08.05.2021

Picha za Hapo Chini Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Wakiwa Katika Mafunzo ya Usajili na Kutoa Vyeti vya Kuzaliwa kwa Watoto  Chini ya Umri wa Miaka 5 Kwenye Ukumbi wa Wananwake Mbulu Mjini Leo Tarehe 08.05.2021







~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~`   TAARIFA KAMILI   ~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~




Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Bw. Hudson S. Kamoga amesisitiza kufanya kazi kwa weledi kwa watumishi wanaofundishwa mafunzo ya usajili na utoaji vyeti kwa watoto chini ya umri wa miaka 5 yanayotolewa na wataalamu ngazi ya Wilaya kwa ushirikiano na  wataalamu wa ngazi ya kitaifa yaani "RITA" Taasisi ya inayoshugulikia usajili wa vizazi na vifo kauli mbiu ni "Mtoto anastahili cheti cha kuzaliwa mpe haki yake".

Katika zoezi hili Mkurugenzi Mtendaji amesisitiza kuzingati sheria kanuni na taratibu za kazi husika ili kuweza kufikia malengo na kutoingiza dosari kwa mtumishi yeyote ambaye yupo kwenye zoezi hili. aliendelendelea kwa kusema uadilifu katika kazi,kuzingatia kuwahi kazini, kuwa na lugha nzuri na kujaza taarifa sahihi kwani hasa ukizingatia majina ya wananchi wetu inatakiwa usikilize vizuri ndiyo uelewe lasivyo utaandika kitu ambacho hakipo mfano jina tlatla usiposikiliza vizuri utaandika tata.

Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu imejiandaa vilivyo katika zoezi hili la kitaifa ikiwa ni pamoja na kutoa matangazo ya hamasa kupitia Radio,mbao za matangazo kwenye kata na vijiji, mikutano ya vijiji, kutangaza kupitia gali maalumu la matangazo la halmashauri katika kata na vijiji vyote pamoja na tovuti ya halmashauri ya Wilaya ya Mbulu ili wananchi wapate nafasi hii muhimu ya kusajiri watoto wao.

Mkurugenzi Mtendaji ameishukuru serikali kwa zoezi hili muhimu litakalowasaidia watoto hawa hadi uzee wao katika kutekeleza majukumu mbalimbali ya kibiashara, kiserikali na kimaisha kwa ujumla wao. Hata hivyo imewaondolea adha wananchi ambao walikuwa mbali na uwezo mdogo wa kupata cheti hiki kwani ni bure na serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ndiyo inayogharamia zoezi hili kwa masalahi mapana ya nchi yetu na wanachi wake.


Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MADIWANI WAPONGEZWA KWA USIMAMIZI MZURI WA MIRADI KATIKA KATA ZAO

    April 29, 2025
  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.