• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

MADIWANI WAPONGEZWA KWA USIMAMIZI MZURI WA MIRADI KATIKA KATA ZAO

Kurushwa hewani: April 29th, 2025

Na, Ruth Kyelula, Mbulu DC,

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu, Joseph Mandoo, amewapongeza waheshimiwa Madiwani kwa usimamizi mzuri wa kazi za miradi katika kata zao, kwa kuchangisha, kuleta changamoto na vipaumbele vya wananchi kupitia kamati ya maendeleo ya kata.

Mkuu wa shule ya sekondari Dr. Olsen, Veronica Mmasi,akikabidhiwa cheti cha pongezi na Mhe.Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu, Joseph Mandoo, kwenye baraza la madiwani

Hayo aliyasema Mhe.Mandoo wakati akifungua kikao cha baraza la Madiwani la robo ya tatu 2024/2025, katika ukumbi wa Halmashauri, Aprili 29,2025.

Aidha Mhe.Mandoo amempongeza Mkuu wa shule ya sekondari Dr. Olsen, Veronica Mmasi, kwa usimamizi mzuri wa ujenzi wa shule mpya ya sekondari Basonyagwe, inayojengwa kwa gharama ya Tsh. 584,280,029. -00, katika Kata ya Haydom.

“Na sio tu mradi wa Basonyagwe, amekuwa mstari wa mbele pale tu, tunapopeleka fedha kwenye kata ya Haydom, hasa miradi ya Elimu upande wa sekondari, amekuwa mstari wa mbele kuhakikisha mradi unakamilika kwa wakati na kwa ubora unaotakiwa .Tunahitaji wakuu wa shule wa aina hii kwenye Halmashauri yetu.” Alisema Mandoo.

Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu wakifuatilia kikao cha baraza 

Kwa upande mwingine Mhe. Mwenyekiti, alisema tunazo changamoto mbalimbali kwenye miradi yetu,na amewaomba waheshimiwa Madiwani kwa muda uliobaki, waendelee kutatua zile changamoto na waboreshe usimamizi wa miradi.

Kwa upande wake Katibu wa Baraza na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu, Abubakar Kuuli, aliwapongeza Madiwani wote kwa kazi nzuri ambazo wamekuwa wakizifanya katika Kata zao, akitolea mfano Kata ya Haydom ambapo kuna ujenzi wa shule mpya ya sekondari Basonyagwe, shule ambayo imeingia kwenye historia ya Halmashauri na kuongeza kuwa nguvu ya ufuatiliaji ilikuwa ndogo sana, lakini mradi umekamilika kwa viwango na chenji zimebaki.

“Pale Labay tuna mradi wa barabara, na wale wenzetu walikua wanahitaji maeneo kwa ajili ya kupata kokoto, Mhe. Diwani pale ametusaidia. Hii ni kwa mifano tu lakini kata nyingi mambo yamekwenda vizuri. Halikadhalika kwa maafisa Tarafa na wakuu wa Idara, pia niwapongeze kwa kazi nzuri mnazoendelea kuzifanya. Mfano mzuri maafisa Elimu walipongezwa kwenye mkutano wetu wa Ilani, kupongezwa kwa maafisa Elimu maana yake tumepongezwa CMT yote.” Alisema Kuuli.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu, Abubakar Kuuli, akizungumza wakati wa baraza la madiwani.

Naye Mkuu wa Wilaya ya Mbulu, Michael Semindu, alisema kuwa Mhe.Rais ameshatimiza wajibu wake, ameleta barabara, hela za maji,za elimu na sekta nyingine zote, jukumu letu sisi kwenye ngazi ya Wilaya,Kata,Vijiji na Tarafa, ni kuhakikisha huduma bora zinatolewa kwa wananchi wetu na mtumie lugha rahisi ambayo watu wataielewa.

Mwisho Mbunge wa Mbulu Vijijini, mhe. Flatei Massay alisema kuwa anamshukuru Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwafaa wana Mbulu na Watanzania kwa ujumla kwa kuwajengea jengo la Halmashauri lenye thamani ya Zaidi ya Bilioni 5, hospitali kubwa ya Wilaya yenye thamani ya tsh. 3,628,000,000/=

Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MADIWANI WAPONGEZWA KWA USIMAMIZI MZURI WA MIRADI KATIKA KATA ZAO

    April 29, 2025
  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.