TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA NA KUITWA KUHUDHURIA MAFUNZO YA UCHAGUZI
Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani wa mwaka 2025 na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na Kanuni ya 11 na 12 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za mwaka 2025; Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Mbulu Vijijini anawatangazia wafuatao kuhudhuria mafunzo ya Uchaguzi kama ilivyoanishwa kwenye jedwali lifuatalo:
BOFYA HAPA KUSOMA MAJINA:-MATOKEO.pdf
Mbulu district Coucil
Anuani: P.O.BOX 74
Simu ya mezani: +255743583078
Simu: +255716992222
Barua pepe: md@mbuludc.go.tz
Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.