• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • WAHESHIMIWA MADIWANI
    • MADIWANI VITI MAALUM
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

MADIWANI MBULU DC WAASWA KUZINGATIA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA

Kurushwa hewani: December 3rd, 2025

Na Magreth Mbawala, Mbulu DC.


Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu leo tarehe 03/12/2025 wamekula kiapo cha maadili ya uongozi wa umma pamoja na mafunzo kuhusu ujazaji wa tamko la rasilimali na madeni ya viongozi.


Kiapo hiko kimeongozwa na Adam Kuhanda Afisa Maadili kutoka Ofisi ya Rais Sekretarieti ya maadili ya viongozi wa umma kanda ya Kaskazini ambapo amewaasa madiwani kuweka wazi mali zote wanazozimiliki bila kuficha chochote kwani kufanya hivyo ni kosa kisheria na watawajibishwa.


Pia aliwasisitiza kuwa taarifa hizo zinajazwa ndani ya siku 30 mara baada ya kuchaguliwa kwao.Hivyo wafanye hima kujaza kuepuka usumbufu.


Aidha Bwana Kuhanda aliwakumbusha madiwani kuanza kuishi maadili ya kiuongozi ikiwa ni pamoja na mavazi wanayovaa,kuongea,kula na kuishi na watu kwenye jamii .


Naye Afisa wa TAKUKURU wa Wilaya ya Mbulu Lawrence Mlaponi, aliwataka Madiwani kuepuka vitendo vya rushwa kwa kuacha kutoa na kupokea rushwa.Pia aliwataka kuacha kupokea zawadi kutoka kwa wanaowaongoza kwani ndio chanzo cha kutokutenda haki.


Sambamba na hilo aliwasihi kwenda kusimamia vema miradi ya maendeleo kwenye kata zao na kuacha kuangalia maslahi yao binafsi kwenye miradi ya umma ikiwemo kutaka asilimia kumi.


Mwisho Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Mhe. Yeconia Maleyecky aliwashukuru watoa mada kwa Elimu nzuri waliyowapatia.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI October 20, 2025
  • TANGAZO LA USAFI JUMAMOSI YA MWISHO YA MWEZI November 28, 2025
  • TANGAZO LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) KWA HIARI January 27, 2026
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • BARAZA LA MADIWANI LA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU LAPITISHA NA KUPONGEZA RASIMU YA MPANGO NA BAJETI YA MWAKA WA FEDHA 2026/2027

    February 10, 2026
  • USHIRIKIANO WA KITENGO CHA USTAWI WA JAMII NA TAASISI YA CHaRA WAWEZESHA WANAFUNZI WA KIKE DONGOBESH SEKONDARI KUPITIA ELIMU YA AFYA, KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA NA UGAWAJI WA TAULO ZA KIKE

    February 09, 2026
  • WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU WANUFAIKA NA MIKOPO YA ASILIMIA 10 MBULU DC

    January 19, 2026
  • WANANCHI WAASWA KUENDELEA KUCHUKUA TAHADHARI YA UGONJWA WA UKIMWI

    December 01, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

DC SEMINDU AAGIZA WATENDAJI KUHAKIKISHA WANASIMAMIA UTOAJI WA LISHE KILA KIJIJI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.