• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

Mawasiliano Serikalini


MAJUKUMU YA KITENGO CHA HABARI NA MAWASILIANO SERIKALINI

UTANGULIZI

Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu ni miongoni mwa Halmashauri zinazotekeleza muundo mpya wa Halmashauri ambao uliidhinishwa 08.07.2011 na Waziri Mkuu Mh Mizengo P. Pinda. 

Jukumu kubwa la kitengo hiki ni Kusimamia masuala yote ya Habari na Mawasiliano ya Halmashauri halikadhalika kusimamia maswala yote ya kiitifaki.

Kitengo hiki kimegawanyika katika sehemu kuu mbili ambazo ni:

  1. Habari na uhusiano
  2. Teknolojia ya habari na mawasiliano.

Majukumu ya Kitengo

  • Kuandaa miradi ya Mkurugenzi kukutana na kuongea na vyombo mbalimbali vya habari
  • Kutoa ufafanuzi kwa vyombo vya habari na jamii kwa masuala mbalimbali yanayohusiana na Halmashauri kwa kufuata maelekezo ya Mkurugenzi
  • Kuandaa machapisho mbalimbali kwa ajjili ya kuhabarisha jamii kuhusiana na masuala mbalimbali ya halmashauri.
  • Kuandaa mkutano wa waandishi wa habari (Press Conference) baina ya Mkurugenzi/Mwenyekiti wa halmashauri na waandishi wa habari.
  • Kuratibu na kusimamia waandishi wa habari katika shughuli mbalimbali za Halmashauri kama vile Baraza, Mikutano ya hadhara au Matamasha.
  • Kuratibu na kusimamia mifumo ya mawasiliano na mawasiliano yote ya Halmashauri.
  • Kuhakikisha tovuti ya Halmashauri  inaandaliwa na kuwishwa taarifa zake kwa ufasahaa.
  • Kuhakikisha Halmashauri  inasajili na kutumia barua pepe za serikali (Government Mailing System) kwa ajili ya kutuma na kupokea taarifa za kiserikali.
  • Kusimamia mawasiliano ya ndani na nje ya ofisi (Internal and External Communication)
  • Kuaanda na kusambaza nyaraka za machapisho kama vile vijitabu, vipeperushi,majairida,magazeti na nyaraka mbalimbali za halmashauri.
  • Kuandaa na kutekeleza mikakati ya Mawasiliano (Prepare and implement communication startegy)
  • Kuhimiza Sera, kazi na programu za Halmashauri ( Promote LGA’s policies,functions and programs).

Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAHIMIZA WANAFUNZI WARIPOTI SHULENI

    January 31, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.