• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

MBULU DC YAADHIMISHA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI.

Kurushwa hewani: May 16th, 2025

Na, Ruth Kyelula, Mbulu DC.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu, Abubakar Kuuli, amewataka Wauguzi wote wa Mbulu DC kuwa na lugha nzuri na zenye staha kwa wagonjwa pamoja na wale wanaowasindikiza wagonjwa katika vituo vyote vya kutolea huduma za afya.

Hayo yalisemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu wakati wa maadhimisho ya siku ya Wauguzi Duniani iliyofanyika ki Halmashauri Mei 16, 2025, katika viwanja vya shule ya sekondari, Ufundi na Chuo cha Biblia Stenroos, kilichopo Dongobesh Wilayani Mbulu.

“Ni vyema maadhimisho haya tukayadumisha, kama tulianza kufanya maadhimisho haya kwenye vituo, safari hii tunafanya kama Halmashauri.Hili jambo tunatakiwa tulidumishe. Wale wataokuwa hawako zamu na kama hawatoathiri huduma za afya kwenye vituo vyao, tukutane kwa pamoja tuzungumze.” Alisema Kuuli.

Aidha amewapongeza Wauguzi kwa kufanya sherehe hii kwa mara ya kwanza ki Halmashauri, wakiongozwa na Muuguzi mkuu wa Halmashauri Pellagia Shirima.Na kuongeza kuwa safari hii wauguzi wamejiongeza pakubwa.

Kwa upande wake Mkuu wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu, Neema Aligawesa, alisema kuwa wauguzi ni watu muhimu sana kwa mstakabali wa afya za binadamu na kuongeza kuwa kazi ya uuguzi ni wito, wafanye kazi kwa kuzingatia maadili, miiko, utunzaji wa siri za wagonjwa na lugha za staha.

Naye Muuguzi Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu, Pellagia Shirima, ametoa wito kwa wauguzi Wote wa Halmashauri ya Wilaya, kufanya kazi kwa kuzingatia utu, heshima na staha, kwahiyo wauguzi wazingatie hayo maadili ya uuguzi.

“Kwa kawaida kila mwaka tunarudia kiapo, tunasema kazi zetu tunafanya kwa miiko na miiko ile kibinadamu huwa tunajisahau kwa hiyo angalau kila mwaka, lazima Muuguzi arudie kile kiapo kukumbuka ile miiko ambayo anatakiwa asifanye wakati wakutoa huduma za kiuuguzi, ndio mana huwa tunakula tena kiapo ili kukumbushana.” Alisema Pellagia.

Vile vile amewataka Wauguzi wafute nyayo za muanzilishi wa Wauguzi Duniani Florence Nightingale alivyoweza kuwahudumia watu wa vita, aliwahudumia kwa busara, heshima na pale hata alipokosa taa aliwasha mshumaa anawaangalia hata gizani, anawaponya yale majeraha kwa upole na staha, na ninyi wauguzi mnanatakiwa kufuata nyayo zile zile muendelee kutoa huduma bora na nzenye heshima.

Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YAADHIMISHA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI.

    May 16, 2025
  • KAMATI LISHE YAKAA KIKAO CHA TATHIMINI YA HALI YA LISHE KWA ROBO YA TATU

    May 08, 2025
  • MADIWANI WAPONGEZWA KWA USIMAMIZI MZURI WA MIRADI KATIKA KATA ZAO

    April 29, 2025
  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.