• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

KAMATI LISHE YAKAA KIKAO CHA TATHIMINI YA HALI YA LISHE KWA ROBO YA TATU

Kurushwa hewani: May 8th, 2025

Na, Ruth Kyelula.

Afisa Lishe wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu, Jackline David, ametoa wito kwa jamii kuhimizana wao kwa wao juu ya masuala ya lishe bora na kuzingatia ulaji unaofaa ili kuweza kukabiliana na tatizo la utapiamlo mkali katika jamii.

Afisa Lishe wa Wilaya, Jackline David akielezea shughuli za lishe zilizofanyika kwa robo ya tatu.

Hayo aliyasema wakati wa kikao cha Tathimini ya hali ya Lishe cha robo ya tatu ambacho kilikaa na watendaji wa Kata 18, Mkuu wa Wilaya, DAS na wataalamu, Katika ukumbi wa Halmashauri Mei 08, 2025.

Kwa upande mwingine amewataka wanaume washiriki katika mikutano ya siku ya afya na lishe ya vijiji ili elimu ya lishe, malezi na makuzi ya watoto iweze pia kuwafikia wao moja kwa moja.

Baadhi ya Wataalamu wa Halmashauri wakifuatilia wasilisho la utekelezaji wa shughuli za Lishe kwa robo ya tatu.

Aidha Afisa Lishe alisema baadhi ya shughuli walizozifanya kwa kipindi cha Januari hadi Machi 2025 ni utoaji wa matone ya vitamin A kwa watoto 35400, uchunguzi wa hali ya lishe kwa watoto 1254 waliolazwa wodini, kutoa mafunzo kwa wahudumu wa Afya ngazi ya jamii 35 (CHW) na wamefanya ziara shirikishi katika shule za msingi 10 na sekondari 10 zilizoanzishwa bustani za mboga mboga.

Naye Mkuu wa Wilaya ya Mbulu, Michael Semindu alisema kuwa, watendaji wote wanatakiwa wawe wanamtumia taarifa za siku na kila mwezi ya matukio yote yanayoendelea katika kata zao bila kusahau kutembelea miradi yote iliyopo maeneo yao na kuifanyia ukaguzi wa mara kwa mara ili kuepuka hasara zinazoweza kujitokeza.

Mwisho Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu, Abubakar Kuuli alimshukuru Mkuu wa Wilaya kwa maelekeo aliyoyatoa na kuongeza kuwa yeye ni muumini wa masuala mazima ya Lishe, yote aliyoyasema wataenda kuyatekeleza.

Watendaji wa Kata 18 wakifuatilia wasilisho la Lishe.

Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • KAMATI LISHE YAKAA KIKAO CHA TATHIMINI YA HALI YA LISHE KWA ROBO YA TATU

    May 08, 2025
  • MADIWANI WAPONGEZWA KWA USIMAMIZI MZURI WA MIRADI KATIKA KATA ZAO

    April 29, 2025
  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.